To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Nimekusoma Ni kinyume chake
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
Hakika umenene vyema ndio maana umepata like s 33 had sas [emoji1787][emoji23]
 
Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.

Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.

Auze mali zake awape maskini.

Akashindwa kufanya hivyo.

Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.

Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.

Jitahmini.
Hakika
 
Hongera sana ndugu. Mimi hadi leo sijafanya namba 1, 2 na 3. Mimi ni miongoni mwa watanzania wachache tuliojua ladha ya papuchi ukubwani. Mara ya kwanza kupewa tamu nilikua na 22yrs. Nakumbuka kuna jimama lilinitunuku. Lakini baada ya hapo nilijikuta nimenogewa na papuchi na kuzichakata haswa. Hadi nafika 30yrs nikajikuta nimechakata papuchi zisizo na idadi ambapo kama 75% wakiwa ni majimama. Wanafunzi huwa nakaa nao mbali sana.
Umefanya vizuri kukaa mbali na wanafunzi! Je, ni wa chuo hao wanafunzi unaokaa nao mbali?
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Mimi nimewahi kufanya vyote ila siyo kiviileeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote.

2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote.

3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote

4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote

5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.

Still life is fun,
Nafikiri ungekuwa na sifa ya kutokufanya mapenzi au pengine kuwa na msichana mmoja muda wote huo, ungestand out kuliko hivyo ulivyotaja vyenye watu wengi ...
 
Ukiondoa no 4 mengine yote jaribu upate experience ya maisha kama kijana.
Kuwq kijana haimaanishi ufanye mambo ya kishenzi. Hata biblia imesema tumkumbuke Mungu wakati wa ujana. Ujana ukitumika vizuri hata jamii itapata mabadiliko. Ni kijana mpumbavu tu atakayeshauri ujanani tufanye ushenzi.
 
Wakolosai 1:13
Naye alituokoa katika nguvu za Giza,akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana na pendo lake ,¹⁴ ambaye katika yeye tuna ukombozi,yaani msamaha wa dhambi.
 
Back
Top Bottom