1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote
2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote
3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote
4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote
5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.
Still life is fun,
should we be worried ? I think you are living a happy life1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote
2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote
3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote
4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote
5. Sijawahi kwenda night club, kigodoro au tamasha la muziki lolote.
Still life is fun,
Naomba tuishie hapa.Kwenye biblia kuna jamaa alimweleza Yesu mambo yoote kama wewe unavyotamba hapa.
Ila Yesu akamwambia afanye jambo moja tu.
Auze mali zake awape maskini.
Akashindwa kufanya hivyo.
Maana yake ni kwamba hakuna binadamu mkamilifu.
Unaweza kuta yote hayo hufanyi ila ni muongo, una wivu , mmbea, mfitini au mwizi.
Jitahmini.