To my JF family, nina DEPRESSION

To my JF family, nina DEPRESSION

Hiyo biashara haukuzaliwa nayo na bila shaka wakati unaianza haikuwa kubwa tu ghafla.

Uchumi haukuzaliwa nao uliutafuta kwa jasho lako.

Kama uliweza kuutafuta, ukaupoteza basi amini kwamba unaweza kuutafuta pia.

Relax waza namna bora ya kusolve matatizo yanakukumba badala ya kuwaza depression.

Kwa sasa jitahidi kupunguza madeni wakati ukimove taratibu.

Hakuna binadamu asiyepitia misukosuko kinachotofautisha ni aina ya misukosuko na namna tunavyoweza kupambana nayo.

Wanaume hatupaswi kulia in public.
Upo sahihi mkuu ,hasa huo msitari wa mwisho.
Ila ndio hivyo tunatoa sumu tu
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

Am in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
pole sana ndugu!!! mimi nilipitia mtihani kama huo mwaka 2021,lakini ilihusu mahusiano ya kifamilia,wife alibeba kila k2 ndani,na 2likuwa na duka lafamilia akalihamisha akaenda kupanga nisipopajua,nilichanganyikiwa sana,nilikuwa mlevi nisiyechagua pombe,,gongo,mnazi,dengerua,bangi,sigara,bia,,,yaani kilevi chochote kasoro MUNGU aliniepusha kuvuta unga!!!!,gari yangu ndogo kidogo iniue kwa ajali,ikabidi niitoe injini ili nisiweze kuliendsha,,,,,maisha yaliendelea ivo mpaka siku moja nikajiuliza nitaishi mpaka lini manake nilianza kusumbuliwa na pressure,nilishaanguka barabrani kupata fahamu nipo emergence room pale dar group hospital,,,yaani afya iliporomoka nikawa kama mgongwa yaani,,,basi,,,nikaanza kujiingiza na ibada za kilokole,mikesha,nikawa nasoma sana biblia{nikakutana na kisa cha ayubu alivopata misukosuko}pia,nikisikia kuna mihadhara ya kiislam nikawa naenda na mawaidha yao yalisaidia sana,,,,,kwa sasa naendela vizuri japo sio asilimia 100,bangi,sigara,na pombe za ovyo na pombe kalizote nimeacha!!!!!,,,kazi nafanya kama kawaida ah!! ajabu upande wapili pigo limemrudia,duka kausha damu wamefilisi,vi2 vya ndani vilevile,karudi kwao kwa aibu kubwa,,anaomba kurudi kupitia ndugu lakini ingawa bado nampenda lakini namwogopa sana,namuona kama muuaji ivi,,,,so,nimekusimulia ili nikutie moyo kwamba yatapita haya!!! ki2 cha muhimu ukiona dalili za marafiki zako kukukwepa,usilazimishe,jiweke kando kwani ukilazimisha utaumia zaidi.................KOMAA "MUNGU yupo na wewe"
 
😂😂😂 honestly to me iliwork out Dec. Hahaaaa

Nataka nipige moja ninayemdai anilipe 🥹
kikubwa imani yaani na ukifanya usiwaze
muda wote sahau vina work kabisa
 
[emoji24] mama yangu usiku wakuamkia j5 kapigwa tukio la kijambazi , bongo yakisefenge sana ,imebidi niende bar kabisa leo mkuu , coz ilibaki kidgo waniondolee uhai wa kipenz changu mama yangu mzazi[emoji24][emoji24][emoji24]
pole sana mkuu
 
pole sana ndugu!!! mimi nilipitia mtihani kama huo mwaka 2021,lakini ilihusu mahusiano ya kifamilia,wife alibeba kila k2 ndani,na 2likuwa na duka lafamilia akalihamisha akaenda kupanga nisipopajua,nilichanganyikiwa sana,nilikuwa mlevi nisiyechagua pombe,,gongo,mnazi,dengerua,bangi,sigara,bia,,,yaani kilevi chochote kasoro MUNGU aliniepusha kuvuta unga!!!!,gari yangu ndogo kidogo iniue kwa ajali,ikabidi niitoe injini ili nisiweze kuliendsha,,,,,maisha yaliendelea ivo mpaka siku moja nikajiuliza nitaishi mpaka lini manake nilianza kusumbuliwa na pressure,nilishaanguka barabrani kupata fahamu nipo emergence room pale dar group hospital,,,yaani afya iliporomoka nikawa kama mgongwa yaani,,,basi,,,nikaanza kujiingiza na ibada za kilokole,mikesha,nikawa nasoma sana biblia{nikakutana na kisa cha ayubu alivopata misukosuko}pia,nikisikia kuna mihadhara ya kiislam nikawa naenda na mawaidha yao yalisaidia sana,,,,,kwa sasa naendela vizuri japo sio asilimia 100,bangi,sigara,na pombe za ovyo na pombe kalizote nimeacha!!!!!,,,kazi nafanya kama kawaida ah!! ajabu upande wapili pigo limemrudia,duka kausha damu wamefilisi,vi2 vya ndani vilevile,karudi kwao kwa aibu kubwa,,anaomba kurudi kupitia ndugu lakini ingawa bado nampenda lakini namwogopa sana,namuona kama muuaji ivi,,,,so,nimekusimulia ili nikutie moyo kwamba yatapita haya!!! ki2 cha muhimu ukiona dalili za marafiki zako kukukwepa,usilazimishe,jiweke kando kwani ukilazimisha utaumia zaidi.................KOMAA "MUNGU yupo na wewe"
Naichukua hii mkuu.
kila mtu kaondoka maishani mwangu nimebaki na mamaangu tu.
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809

Fanya upya tathmini ya biashara yako kwa kutazama yafuatayo.

1. Uhitaji - Je, uhitaji wa bidhaa unayouza ungali ni ule ule wakati ukianza biashara yako?
Je, walengwa wangali ni wale wale na bado wapo?

Siku zote uhitaji huwa unaendana na usambazaji.

2. Eneo - Ni wazi idadi ya wateja imepungua na ndio maana mzunguko wa biashara yako umekuwa mgumu, je eneo ulilopo kwa sasa ni rafiki kwa aina ya biashara uifanyayo?

Kuna watu huanzisha biashara wakilenga uwepo wa wanafunzi, stendi n.k, shule au stendi ikihamishwa basi hata wateja wa uhakika nao hupotea.

3. Matangazo - Biashara yako unaitangaza kwa kiasi gani?

Mengine wataongezea wengine...
 
Back
Top Bottom