To my JF family, nina DEPRESSION

To my JF family, nina DEPRESSION

Daah! Pole sana mkuu, biashara noma sana maana hata Mimi ni muhanga wa Hali hio kipindi Cha 2018-2022 piga sana pesa ndani ya dar, mambo yakageuka kwa speed ya ajabu madeni makubwa sana

Sasa bwana kipindi napiga pesa nilikua na asset zangu mbili Moja kibamba ingine kibaha nikapiga chini ya kibamba punguza madeni, Bado stress za hatari nikawa nalala getto naweza ingia ndani jpili nikatoka jumanne[emoji2] maan Mimi sio mtumiaji wa vilevi vyovyote mwili ukaisha na stress mpka nilikua nikitembea barabarani damu zinanitoka puani hovyo hvyo na sikua na Hilo tatizo hapo nyuma

dadeq nikasema hii nini? Kwani pesa nilitoka nazo kwetu mbona nateseka hiviii, wakati huo Bado Kuna raia wanadai Bado kama million 15+ hivi wanapigia simu kinoma wananitafuta mno msimbazi hapo polisi nishalala sana kusubiri midhamana ya washkaji,

Mwezi uliopita wa mwaka 2023 ndio nikachukua maamuzi magumu na sijutii Nina amani na nisharestore mind set yangu napambana upyaa, nilichokifanya nikachukua pen na notebook nikaandika kila anaenidai ukiacha wale niliowapunguzia nikakuta Nina m 15na laki kadhaa nikaitafuta mteja wa asset ya kibaha nikapata kwa Bei rahisi sababu mm nilitaka Bei kubwa kidogo,

nikashika simu yangu nikaitia code mtu akipiga haziiti ni meseji za kawaida na Whatsapp tuu nikaitafuta line ya simu mpya nikatembea zangu mkoa nikaanza mishe mishe zangu.... Hao na madeni yao nitaanza kuwalipa mwezi wa nne na nilishaanza kumtafuta Mmoja wao tumekubalina namna ya kuanza kumlipa.

Mungu wetu sote tusichoke kuomba , na nimejifunza ukiona unapitia jaribu Fulani jua ni size Yako na sir God amekuona unalimudu ndio maana karuhusu

Jamaa usikate tamaa, piga moyo konde maana wewe sio wa kwanza wapo wengi pengine wana mazito zaidi ya hayo.
 
kaza moyo tukianza tusimulie yetu hapa JF utaona yako yana unafuu.mimi deni dogo ni milioni 1. na maisha yana kwenda
Mimi deni dogo ni 300,000. Kubwa ni 10,000,000. Ukiyajumlisha ni 30m+. Hapo bado songesha, mloan, mkopofasta.

Ohoo Kuna hawa pesaX na cashX wanapiga simu kama wanadai roho.

Kazi nimepoteza, biashara imekufa, wadai wanaweza kwenda mahakamani wakitaka, nimewaambia sina hela.

In short, nilichojifunza kwenye maisha, sio kila tatizo unaweza litatua, mengine ni kukubali tu yako nje ya uwezo wako na maisha yaendelee.

Kushindwa sio mara zote ni kiashiria cha udhaifu.

#COYG
 
Kama uko Miyomboni..mashine tatu, kihesa.. kote huko hutoboi..
Wamejaa wachawi..

Wana manyoka huko madukani .
Hama mji
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Kwetu yakwaida tu haya kaka,

Kama yamekupata tuliza akili na uanze upya.
Sisi tupo na wala hatujawahi kushika ela uliyowahi kushika ww ila tunaamin ipo siku tutapata.
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Ni vyema biashara iwe mahitaji ya kila siku....sikumbuki lini nimenunua sufuria au jagi....jiongezeee....fungua genge...
 
Amini hili

Tatizo ulilonalo umeshalitatua kwa asilimia 80. How?

Umeshalifahamu tatizo na means za kuondokana na tatizo hilo, haupo kwenye depression ndugu. Jifuatilie vizuri katika mawazo yako katika kujikwamua hapo ulipokwama.
 
Daah! Pole sana mkuu, biashara noma sana maana hata Mimi ni muhanga wa Hali hio kipindi Cha 2018-2022 piga sana pesa ndani ya dar, mambo yakageuka kwa speed ya ajabu madeni makubwa sana

Sasa bwana kipindi napiga pesa nilikua na asset zangu mbili Moja kibamba ingine kibaha nikapiga chini ya kibamba punguza madeni, Bado stress za hatari nikawa nalala getto naweza ingia ndani jpili nikatoka jumanne[emoji2] maan Mimi sio mtumiaji wa vilevi vyovyote mwili ukaisha na stress mpka nilikua nikitembea barabarani damu zinanitoka puani hovyo hvyo na sikua na Hilo tatizo hapo nyuma

dadeq nikasema hii nini? Kwani pesa nilitoka nazo kwetu mbona nateseka hiviii, wakati huo Bado Kuna raia wanadai Bado kama million 15+ hivi wanapigia simu kinoma wananitafuta mno msimbazi hapo polisi nishalala sana kusubiri midhamana ya washkaji,

Mwezi uliopita wa mwaka 2023 ndio nikachukua maamuzi magumu na sijutii Nina amani na nisharestore mind set yangu napambana upyaa, nilichokifanya nikachukua pen na notebook nikaandika kila anaenidai ukiacha wale niliowapunguzia nikakuta Nina m 15na laki kadhaa nikaitafuta mteja wa asset ya kibaha nikapata kwa Bei rahisi sababu mm nilitaka Bei kubwa kidogo,

nikashika simu yangu nikaitia code mtu akipiga haziiti ni meseji za kawaida na Whatsapp tuu nikaitafuta line ya simu mpya nikatembea zangu mkoa nikaanza mishe mishe zangu.... Hao na madeni yao nitaanza kuwalipa mwezi wa nne na nilishaanza kumtafuta Mmoja wao tumekubalina namna ya kuanza kumlipa.

Mungu wetu sote tusichoke kuomba , na nimejifunza ukiona unapitia jaribu Fulani jua ni size Yako na sir God amekuona unalimudu ndio maana karuhusu

Jamaa usikate tamaa, piga moyo konde maana wewe sio wa kwanza wapo wengi pengine wana mazito zaidi ya hayo.
Mkuu Sitaki kuamini pole sana mkuu.Soma hii comment kwa utulivu naamini itakupa nguvu.
 
pole sana ndugu!!! mimi nilipitia mtihani kama huo mwaka 2021,lakini ilihusu mahusiano ya kifamilia,wife alibeba kila k2 ndani,na 2likuwa na duka lafamilia akalihamisha akaenda kupanga nisipopajua,nilichanganyikiwa sana,nilikuwa mlevi nisiyechagua pombe,,gongo,mnazi,dengerua,bangi,sigara,bia,,,yaani kilevi chochote kasoro MUNGU aliniepusha kuvuta unga!!!!,gari yangu ndogo kidogo iniue kwa ajali,ikabidi niitoe injini ili nisiweze kuliendsha,,,,,maisha yaliendelea ivo mpaka siku moja nikajiuliza nitaishi mpaka lini manake nilianza kusumbuliwa na pressure,nilishaanguka barabrani kupata fahamu nipo emergence room pale dar group hospital,,,yaani afya iliporomoka nikawa kama mgongwa yaani,,,basi,,,nikaanza kujiingiza na ibada za kilokole,mikesha,nikawa nasoma sana biblia{nikakutana na kisa cha ayubu alivopata misukosuko}pia,nikisikia kuna mihadhara ya kiislam nikawa naenda na mawaidha yao yalisaidia sana,,,,,kwa sasa naendela vizuri japo sio asilimia 100,bangi,sigara,na pombe za ovyo na pombe kalizote nimeacha!!!!!,,,kazi nafanya kama kawaida ah!! ajabu upande wapili pigo limemrudia,duka kausha damu wamefilisi,vi2 vya ndani vilevile,karudi kwao kwa aibu kubwa,,anaomba kurudi kupitia ndugu lakini ingawa bado nampenda lakini namwogopa sana,namuona kama muuaji ivi,,,,so,nimekusimulia ili nikutie moyo kwamba yatapita haya!!! ki2 cha muhimu ukiona dalili za marafiki zako kukukwepa,usilazimishe,jiweke kando kwani ukilazimisha utaumia zaidi.................KOMAA "MUNGU yupo na wewe"
Duuu pole ndugu yangu nilidhani ni mimi niliyepitia magum kumbe tuko wengi.
 
Back
Top Bottom