Ni kweli ambao wanamkumbuka ni wale ambao walimtambua kipindi chake, jamaa alivutia sana kipindi kile.Itakua tu wanafunzi wake mmemkumbuka ila Tanzania imetoa vipaji vingi sana kwa sababu kufauru sio big ishu kwao maana zilikuwepo shule za vipaji maalumu kipindi cha nyuma na walikua wanafanya vizuri sana...
Nilichogundua wengi walisoma zama za kuferi ndio maana wanashangaa matokeo na pia bado wana uzao wa kuferi...Ni kweli ambao wanamkumbuka ni wale ambao walimtambua kipindi chake, jamaa alivutia sana kipindi kile.
Itakuwa alikuwa na ufala mwingi, watu tulipatia one Dar tena kipindi akiwa primary school au hata shule labda alikuwa hajaanza plus hayo masomo anayojinasibu nayo ndiyo yalikuwa masomo yetu.Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics๐
Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana walimfelisha kwasababu ya ujuaji wake) baada ya hapo akarudi mtaani kuzurura kutafuta shule na Tuition za kufundisha.
Alirudi chuo Tena UDSM kusoma petroleum engineering mwaka 2013 na kuhitimu 2017.
Huyu jamaa alikuwa anapenda kuwaita wenzake nyumbu๐
Moja ya misemo yake alikuwa akisema. "Huwezi kupata Division 1 Kama unasoma Dar"๐
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 3549386
Jamaa alikuwa ana jeuri ya ukipanga wa kipindi kile, zamani vipanga walikuwa wanaringa sana.Itakuwa alikuwa na ufala mwingi, watu tulipatia one Dar tena kipindi akiwa primary school au hata shule labda alikuwa hajaanza plus hayo masomo anayojinasibu nayo ndiyo yalikuwa masomo yetu.
Tuliosoma miaka ya nyuma kabla yake tunamuona kama fala flani asiyejitambua, probably kipindi mimi nasoma Engineering yeye alikuwa darasa la kwanza au la pili.Jamaa alikuwa ana jeuri ya ukipanga wa kipindi kile, zamani vipanga walikuwa wanaringa sana.
Mhm huyu tulimaliza nae mwaka mmojaTuliosoma miaka ya nyuma kabla yake tunamuona kama fala flank asiyejitambua, probably kipindi mimi nasoma Engineering yeye alikuwa darasa la kwanza au la pili.
Mkuu itapendezaa ukilithibitisha hili kwa UMMA.Tuliosoma miaka ya nyuma kabla yake tunamuona kama fala flank asiyejitambua, probably kipindi mimi nasoma Engineering yeye alikuwa darasa la kwanza au la pili.
Kmmk ๐๐๐Asingekuwa amekwama kitaalauma na kuwa mwalimu wa tuition, majority wasinge mtambua. Ni ile tu ameeacha alama kwa vijana wa leo lwa kuwapiga Pindi tuition.
Kuna vipanga viko kimya tu, hawakuwa na kelele mtaani, wako sehemu wanafanya makubwa.
Japo most of TO huku mtaani wako frustrated. Umekomaa na phyisics ukaondoka na A kali. Ukaenda Telecom, ukaondoka na GPA kali, ukaenda kazini, unakuta aliekuajiri (HR) ni mtu wa HKL, Boss ni mtu wa biashara. Mbaya zaidi wanakwambia mtaalam, njoo uwasaidie kuvhomeka printer, haiwaki
Wadogo zangu kwa mbali mno.Mhm huyu tulimaliza nae mwaka mmoja