TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Asingekuwa amekwama kitaalauma na kuwa mwalimu wa tuition, majority wasinge mtambua. Ni ile tu ameeacha alama kwa vijana wa leo lwa kuwapiga Pindi tuition.

Kuna vipanga viko kimya tu, hawakuwa na kelele mtaani, wako sehemu wanafanya makubwa.

Japo most of TO huku mtaani wako frustrated. Umekomaa na phyisics ukaondoka na A kali. Ukaenda Telecom, ukaondoka na GPA kali, ukaenda kazini, unakuta aliekuajiri (HR) ni mtu wa HKL, Boss ni mtu wa biashara. Mbaya zaidi wanakwambia mtaalam, njoo uwasaidie kuvhomeka printer, haiwaki
Dunia inamambo
 
Nchi hii ukiwa na akili sana, hakikisha unakuwa humble, maana wenye wivu, chuki zilizochanganyika na uchawi wamejaa sana, hasa kwa mizee ya huko chuoni inayojiita masupervisor.., wachawi sana hao..
Kweli, alikosa mlezi mzuri wa kumsaidia, hata kama aligundua ana uwezo mkubwa... Angebaki kwenye vitendo, kazi zake zingeongea zaidi kuliko kijisifu na kuwaita wengine majina mabaya kama vile “Nyumbu”.
 
Back
Top Bottom