Duuuh uliukwaaa kumbe babaketumieni ndomu vijana, ngwengwe inaua
Kuna lecture pale SUA yaani anataka ukalili alivofundisha kwenye notices ukijifanya unajua sana anakulima mkasi plus supNchi hii ukiwa na akili sana, hakikisha unakuwa humble, maana wenye wivu, chuki zilizochanganyika na uchawi wamejaa sana, hasa kwa mizee ya huko chuoni inayojiita masupervisor.., wachawi sana hao..
Story yake yote ipo humu humu JF tafuta usome vizuri inasemekana alikua anapenda sana sketiMoja ya misemo yake alikuwa akisema. "Huwezi kupata Division 1 Kama unasoma Dar"😄
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Oya hii Coment 🤣🤣🤣Nilichogundua wengi walisoma zama za kuferi ndio maana wanashangaa matokeo na pia bado wana uzao wa kuferi...
Jamaa nilihudhulia kwake mara 1 tu sikwenda tenakumbe Mtata Demtatuz alifariki? vipi Mbuga naye yupo?
enzi za mchikidown na ilala bomaJamaa nilihudhulia kwake mara 1 tu sikwenda tena
Kumbe bado binti mdogo kabisaMimi na wewe probably tuna umri sawa, 93,94,95.
Kamaliza form 6 mwaka 2006, akawa TO akaingia UD kusoma Telecom Engineering alafu wewe 2007 mkafanya nae field tanesco? Utakua umemfananishaNadhani nilisoma naye UD tukafanya field TANESCO 2007....was he genious?
Yeye kupata div 1.14 o level haindoi ubora wake aliokuja kuufanya baadae.Sasa kama huyo Genius wenu Olevo alipata One ya Point 14 inafikirisha kwa nyinyi mnayemgrade ,possible hamjawahi kukutana na VIPANGA
Kuna jamaa mmoja yule jamaa ALIKUA KIPAJI MAALUMU NIMESOMA NAE PRIMARY ENZI ZILE MATOKEO YANATOKA KESHO CHRISTMAS 🎄Sijawahi kuwa kwenye era ya huyo jamaa na sijajua ufundishaji wake na usomaji ila kuna watu walikuwa vichwa sana enzi za zama za mawe ,miaka aliyosoma yeye naona technology ilikuwa ishaanza kukua.
Kuna jamaa alisoma special nakumbuka alipiga A 10 hadi ya Agricure na Dini alipiga BANDA akawa TO (Olevo) ,ikaja Advance napo Akapiga A Flat akawa TO ,Bank ya Stanbic kipindi hicho ndiyo inaingia TZ katika kujitangaza alipewa zawadi ya laki 5 ,then jamaa akapata Scholarship YALE UNIVERSITY.
Sasa kama huyo Genius wenu Olevo alipata One ya Point 14 inafikirisha kwa nyinyi mnayemgrade ,possible hamjawahi kukutana na VIPANGA hasa.....mtu anameza Ramsden na Abbot yote ,hiyo TRANTA maswali yanafutwa vidoti pia kuna mikate ya Biology mtu anameza lote.
Kuna TO mwingine alitoka MBEYA shule ya mitaani META....Wenye vipaji walikuwa wengi sana enzi za mawe sema Gen Z wanamtrendisha sana jamaa.
Kuna mwingine anaitwa WENZE naye alikuwa namba mbaya sana ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kupata One ya 7 tangia shule yao ianzishwe na mpaka sasa hakuna aliyevunja rekodi ,nashangaa hii miaka yenu mademu darasa zima wanapata One Ponit 7.
Watu wanashindwa kutofautisha mambo ya kusema huyo ni genius ,nakumbua kuna dogo primary alikuwa moto wa kuotea mbali ,hiyo shule yao ya msingi tangia ianzishwe haijawahi kutoa mtu kwenda special ila yeye alienda alipata 145 akaenda Kibaha lakini form iv alipata One ila siyo Single Digit na advance akapata sijui Div 2 hivi yaani hadi nikawa nashangaa huyo jamaa kipaji kilipotelea wapi....navyojua genius anakuwa STEADY yaani A flat mwanzo mpaka mwisho.Kuna jamaa mmoja yule jamaa ALIKUA KIPAJI MAALUMU NIMESOMA NAE PRIMARY ENZI ZILE MATOKEO YANATOKA KESHO CHRISTMAS 🎄
Yule jamaa primary licha nilikua namba 4 mpaka 5 kwenye matokeo DARASANI Mara kwa mara nilikua na mzidi kiswahili TU.. akaenda kibaha special school, illboru na udsm.
Huyu tulicheza pamoja mpira , tukisoma na kufundishwa na walimu wale wale, mazingira Yale Yale ila nilikua namshinda mara chache chache kwenye baadhi ya masomo ya sayansi, maarifa ya jamii, kiswahili, yeye alinipiga vumbi siku zote alinizidi kwenye hesabu maana alikua anakosa moja au mbili tu mtiani mzima, pia kingereza alikua ananibagaza..
Kuna watu hata ukisema UPAMBANE nae Anakuzidi TU 😊😁
Babu mbona una taja miaka yangu, we mzee umeanza umwa amnesia😅Mimi na wewe probably tuna umri sawa, 93,94,95.
Hiyo T.O ilimsaidia niniNilichogundua wengi walisoma zama za kuferi ndio maana wanashangaa matokeo na pia bado wana uzao wa kuferi...
Mimi Darasa la 1 😁😁Kusema ukweli 2006 ndo niko darasa la 7
Bongo uta ambulia sifa, mademu na lupondwa.Hiyo T.O ilimsaidia nini
Nchi ilimfanyia chochote au
Ndiyo aliishia kuwa mwalimu wa tuition tu
Ova