Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kuna story ya jamaa anaitwa MUNA hapo kibaha special school miaka ya nyuma..Watu wanashindwa kutofautisha mambo ya kusema huyo ni genius ,nakumbua kuna dogo primary alikuwa moto wa kuotea mbali ,hiyo shule yao ya msingi tangia ianzishwe haijawahi kutoa mtu kwenda special ila yeye alienda alipata 145 akaenda Kibaha lakini form iv alipata One ila siyo Single Digit na advance akapata sijui Div 2 hivi yaani hadi nikawa nashangaa huyo jamaa kipaji kilipotelea wapi....navyojua genius anakuwa STEADY yaani A flat mwanzo mpaka mwisho.
Sio poaa..hayo mambo inabidi MUNGU akuongozeee acha tu wapo wengi TU.