100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Yawezekana ameacha alama kwa wanafunzi wengi, pengine wengine leo hii ndoto zao zimetimia, au wameajiriwa sehemu kwa sababu alikuwa msaada mkubwa either katika masomo aliyowafundisha ama ushauri.Kwani Nini atrend yeye tena akiwa mautini?
Kama alikuwa genius basi aliwafundisha wanafunzi wakaelewa kwa kuzivunja concepts ngumu kwa urahisi sana tofauti na walimu wengi ambao wanakariri.
Yawezekana alikuwa chanzo kwa baadhi ya wanafunzi wakapenda masomo aliyofundisha.
Simfahamu lakini kwa wasifu wake inaelekea alikuwa genius kweli.