TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Ilikua balaa.enz zile necta yetu ya form 2.kupata wastan wa C jasho linakutoka. Na ilikua unarudia kweli form 2. Na kweli ilikua kupata div 1 dar ngumu madogo walikua wanachetuka vibaya club billz disco toto la mwisho saa 12 jion kipind mt blue ndio anawika so unakuta matoto ya kkko na ilala yakishindwa shule mapema. Ya shebi robi yalikuaga na ka akili akil kias ingawa walikua Arts sana ndio wanaionea
Ukikuta one imesimama ujue dogo muhindi wakina Ajay, tatizo la jf limevamiwa na watoto wa walizaliwa 2000.mafaza wanawazoom tu. Wewe mtu unapas aza boy kufika unakuta mwenzako kashakata topic zote mpaka za form 4 anabak kusolve utawaambia nin? Sijui kwann sas hiv hawa watoto hata hawssom nashangaa sana.
Aisee yele maisha
 
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!

"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".

"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".


Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
Ni Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom