TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Unajua shida ya nyie Gen Z mkituona kaka zenu mmetuzidi urefu na ndevu basi mnaona tunalingana lakini ukweli ni kuwa Sisi hamtupati. Tumeshuhudia mambo ambayo mnayasoma kwenye historia vitabuni. 🤓
Huna hela na haunuzidi chocolate bwashee 😅
 
Huna hela na haunuzidi chocolate bwashee 😅

Ndio tatizo la Gen Z. Nikiwa na umri wako nilikuwa kijijini nawinda Kanga na mikengeri. Nyie dunia imefunguka.
Umejirekodi unacheza unapewa pesa.
Umerekodi unalia unapewa hela.
Umejirekodi umeachia ushuzi, hela.

Utaachaje kunizidi hela Bwashee.
Sisi kaka zenu tulishakubali wadogo zetu hatuwawezi kwenye hela.
 
Ukizidiwa hela hauna kitu bwashee 😅

😂😂😂 Sikatai.

Reference ni To anayejadiliwa hapa. Yeye anakimbizana na Ma lecture huko chuo wakati miaka hiyo wenzake tulikuwa tunasoma huku tunafanya biashara.

Unakosa hata pesa ya kujihudumia ule unawiri. Sasa wewe ni genius au utumbo
 
Asingekuwa amekwama kitaalauma na kuwa mwalimu wa tuition, majority wasinge mtambua. Ni ile tu ameeacha alama kwa vijana wa leo kwa kuwapiga Pindi tuition.

Kuna vipanga viko kimya tu, hawakuwa na kelele mtaani, wako sehemu wanafanya makubwa.

Japo most of TO huku mtaani wako frustrated. Umekomaa na phyisics ukaondoka na A kali. Ukaenda Telecom, ukaondoka na GPA kali, ukaenda kazini, unakuta aliekuajiri (HR) ni mtu wa HKL, Boss ni mtu wa biashara. Mbaya zaidi wanakwambia mtaalam, njoo uwasaidie kuchomeka printer, haiwaki
😂😂😂😂😂😂😂
 
😂😂😂 Sikatai.

Reference ni To anayejadiliwa hapa. Yeye anakimbizana na Ma lecture huko chuo wakati miaka hiyo wenzake tulikuwa tunasoma huku tunafanya biashara.

Unakosa hata pesa ya kujihudumia ule unawiri. Sasa wewe ni genius au utumbo
Wachaga sisi ni walevi na walevi inaaminika niwatu wa hovyo , ikawaje tuwazidi😅😅😅😅
 
Wachaga sisi ni walevi na walevi inaaminika niwatu wa hovyo , ikawaje tuwazidi😅😅😅😅

Kwa sababu ya ushamba wa watanzania wengi.
Sisi jamii za Kaskazini wachaga wala hatuwachukulii serious Sana wachaga na sio role model kama makabila wengine wanavyosema,
Oneni wachaga. Angalieni wachaga.
Nyie endeleeni kuwa role model WA chasaka huko
 
Jamaa kweli mzuri. Ila tumpe heshima yule mwamba aliyekua TO Tangu darasa la saba hadi chuo UDSM. Mm binafsi nilishudia majibu ya mtihani wake wa form 2 niseme tu jamaa sio anaakili bali hata kupangilia kazi anajua. Yani mwanafunzi anapanga majibu kuliko hata solution ilivyoandaliwa na baraza. Kiufupi yule Chegere kama yupo UDSM anafundisha akisema awakomalie wanafunzi wapange kazi kama yeye alivyokua anajibu wengi watafeli.
Chegere alikimbia nini PCM/PGM na kwenda EGM?
😂😂😂😂😂
 
Mkiendelea kumchimba mtakutana na I'd yake ya zamani humu,
Itoshe kusema marehemu aliupiga mwingine sana enzi za uhai wake
 
Chegere alikimbia nini PCM/PGM na kwenda EGM?
😂😂😂😂😂
Kila mtu na malengo yake. Kwani physics na chemistry inaugumu gani. Sina shaka na uwezo wa Chegere sababu hata ukimpeleka Muhimbili leo aanze kusoma udokta atawabuluza wote wanaosoma pcb. Na sio yeye tu. Hata mm mwenyewe muda huu ukiniambia niende Muhimbili au coet pale UDSM nianze degree nyingine kabisa nawabuluza tu. Akili nikama mto tu. Ukipewa notes unawapelea moto.
 
Hata mtu anae sema mabaya ya marehemu nae ni kilaza unaweza kuta aliferi darasa la 4,

Bora hata huyu genius aliacha historia ya kubishana humu sasa wengine wanaacha comment Jf tu hapa

R.I.P E KIHONDA
 
Back
Top Bottom