Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mpare mpaka mimi ana niita gen z et😅Tena Robert wewe kabisa hapaaanaaa! Napinga hadi mahakamani 😅
I'd nyingine ya Dr. Mapaka🤓🤓Na bado (in October 2pm voice)
I'd nyingine ya Dr. Mapaka
Hahaha atakua kwenye parody jingineJamaa yako yupo wapi?
Hahaha atakua kwenye parody jingine
Kwa hiyo sirikali ukiwa kiazi tu ni rahisi kuteuliwaSijamuona Siku nyingi hapa. Atakuwa kapata tobo. Kateuliwa
Kwa hiyo sirikali ukiwa kiazi tu ni rahisi kuteuliwa
Kuna katibu wilaya fulani tunamjua ni kilaza alikua anagotugongea mpaka pombe ila sasa ni mtu mkubwa , tunaojua mifumo huwa tunabaki kucheka 😅Hata ukiwa na akili lakini iwe bendera fuata upepo tuu basi.
Alafu ujifanye Bubu kwenye ukweli wa hadharani. Kipofu mkiwa sirini
Kuna katibu wilaya fulani tunamjua ni kilaza alikua anagotugongea mpaka pombe ila sasa ni mtu mkubwa , tunaojua mifumo huwa tunabaki kucheka 😅
Uwezo wangu wa kwenye gambe ni kutengeneza pesa tu bwashee 🤣😃 Utafanya nini Bwashee! Tulia gambe bado haijashuhudia uwezo wako wote.
Uwezo wangu wa kwenye gambe ni kutengeneza pesa tu bwashee 🤣
Uzuri mmoja bado napumua 😅Lazima ufikie level za uwezo wa kuzimu. Kiasi kwamba watu waseme jamaa limeenda kuzimu, jamaa linalala na nyoka.
Yaani wachambuzi wakujadili kwa nadharia kedekede. Ukifika hapo bashiii
Uzuri mmoja bado napumua 😅
Ananibariki vipi wakati hayupo?Mungu akubariki hata kama huamini habari zake
Ananibariki vipi wakati hayupo?
Mungu muweza wa yote hayupo , kitakacho kuokoa ni juhudi na mipango bwasheeHahaha! Sio Kila Jambo lilo nje ya ufahamu na uelewa wako halipo.
Mungu muweza wa yote hayupo , kitakacho kuokoa ni juhudi na mipango bwashee
Tumchangie tumpige 😅Mpare mpaka mimi ana niita gen z et😅