TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Alikua bata na watoto wazuri hazijamsaidia kivipi sasa?😄
Mwalimu wa tuition ana ya kula bata na watoto wazuri????
SEMA hivi starehe yake ilikuwa ni kula watoto wazuri na aliwapata kwa level yake.
Huo u Tanzania one wake si angeutumia hata kufanya uvumbuzi au angeutumia vizuri angei enjoy mshahara mkubwa kwenye mashirika
 
Hayo ndio mambo ya kila mfu kuwa na malengo yake
 
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!

"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".

"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".

Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
Huyu anataka kufanana na ustadh.watoto wote wa arts hakuna asiyemjua ustadh labda hawa gen z. Ustadh alitoa maana ya regime akatoa mfano wa nchi zenye regime mfano somalia.neno regime halitumik katika nchi zenye staha. So ukiona mtu anatumia regime ujue hajui language. Madogo walikua wanajaa pale changombe sa tatu unsomea getin semantic na syntax ukila topic zako unarudi bording na past paper mwendo wa kutoboa asubuh kwa asubuh.kuna arts walikua na misul tembo kama science. Faliers ni hkl tu
 
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!

"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".

"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".

Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
Huyu anataka kufanana na ustadh.watoto wote wa arts hakuna asiyemjua ustadh labda hawa gen z. Ustadh alitoa maana ya regime akatoa mfano wa nchi zenye regime mfano somalia.neno regime halitumik katika nchi zenye staha. So ukiona mtu anatumia regime ujue hajui language. Madogo walikua wanajaa pale changombe sa tatu unsomea getin semantic na syntax ukila topic zako unarudi bording na past paper mwendo wa kutoboa asubuh kwa asubuh.kuna arts walikua na misul tembo kama science. Faliers ni hkl
 
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!

"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".

"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".

Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
Huyu jamaa inaonekana alikuwa Comedian. Kwa nature ya saikolojia ya wanafunzi, huwa wanapenda mwalimu mcheshi, na akiwafundisha huwa wanakuwa wanamuelewa vizuri sana.
 
Sio poa, kwanza ukikutana naye kama humjui utasikia “Cha kwanza lazima kwanza ujue unaongea na T.O” [emoji3][emoji3]
😀😀😀😀 Naskia wakati anasoma chuo alisema anaweza kuwatungia mtihani maprofesa wa pale UDSM na wakashindwa kufaulu. Maprofes wakammaindi wakamfelisha jamaa akadisco
 
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.

jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄

Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana walimfelisha kwasababu ya ujuaji wake) baada ya hapo akarudi mtaani kuzurura kutafuta shule na Tuition za kufundisha.

Alirudi chuo Tena UDSM kusoma petroleum engineering mwaka 2013 na kuhitimu 2017.

Huyu jamaa alikuwa anapenda kuwaita wenzake nyumbu😄

Moja ya misemo yake alikuwa akisema. "Huwezi kupata Division 1 Kama unasoma Dar"😄

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 3549386
Elimu ya bongo jau nilishangaa kuona school one wetu anauza gesi ubungo kwenye kibanda second one wetu wa muda wetu anameza ya kuuza ubuyu kariakoo
 
Katika shule Fulani ya uboyzini aliwaambia hamuwezi kufaulu.kwa kufundishwa na waliofeli....Sasa kama hamuamini nakupeni swali muwape walimu wenu kesho...kweli wanafunzi bila ajizi Hilo swali walipelekea walimu wa hiyo physics wa shule nzima...Kila mwalimu alijifanya Yuko busy..mwengine aliishia njiani akajifanya ana emergency....ila gwiji likasolve Kwa njia tatu tofauti
 
😀😀😀😀 Naskia wakati anasoma chuo alisema anaweza kuwatungia mtihani maprofesa wa pale UDSM na wakashindwa kufaulu. Maprofes wakammaindi wakamfelisha jamaa akadisco
Sio maprofesa tu, jamaa aliwahi sema anaweza tunga swali la physics alafu akawapa shetani na Mungu wakakaa meza moja kulisolve wote likawachomoa😀😀
 
Back
Top Bottom