Mkuu miaka 1998-2007 elimu ya kidato Cha sita ilikuwa ya kuheshimika sana, huyu jamaa kilicho mfelisha ni dharau kwasababu ya ukipanga wake, isingekuwa hivyo angetoboa kitamboHiyo T.O ilimsaidia nini
Nchi ilimfanyia chochote au
Ndiyo aliishia kuwa mwalimu wa tuition tu
Ova
Aisee🤔 Ila Kuna watu ambao walisona nae pale Tosa boys walisena jamaa alikuwa anakula msuli Ile mbaya.Sijawahi kuwa kwenye era ya huyo jamaa na sijajua ufundishaji wake na usomaji ila kuna watu walikuwa vichwa sana enzi za zama za mawe ,miaka aliyosoma yeye naona technology ilikuwa ishaanza kukua.
Kuna jamaa alisoma special nakumbuka alipiga A 10 hadi ya Agricure na Dini alipiga BANDA akawa TO (Olevo) ,ikaja Advance napo Akapiga A Flat akawa TO ,Bank ya Stanbic kipindi hicho ndiyo inaingia TZ katika kujitangaza alipewa zawadi ya laki 5 ,then jamaa akapata Scholarship YALE UNIVERSITY.
Sasa kama huyo Genius wenu Olevo alipata One ya Point 14 inafikirisha kwa nyinyi mnayemgrade ,possible hamjawahi kukutana na VIPANGA hasa.....mtu anameza Ramsden na Abbot yote ,hiyo TRANTA maswali yanafutwa vidoti pia kuna mikate ya Biology mtu anameza lote.
Kuna TO mwingine alitoka MBEYA shule ya mitaani META....Wenye vipaji walikuwa wengi sana enzi za mawe sema Gen Z wanamtrendisha sana jamaa.
Kuna mwingine anaitwa WENZE naye alikuwa namba mbaya sana ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kupata One ya 7 tangia shule yao ianzishwe na mpaka sasa hakuna aliyevunja rekodi ,nashangaa hii miaka yenu mademu darasa zima wanapata One Ponit 7.
Ni kweli kabisa hii kitu ni ya kuzingatia sanaNchi hii ukiwa na akili sana, hakikisha unakuwa humble, maana wenye wivu, chuki zilizochanganyika na uchawi wamejaa sana, hasa kwa mizee ya huko chuoni inayojiita masupervisor.., wachawi sana hao..
😂 Hata wewe nae!Babu mbona una taja miaka yangu, we mzee umeanza umwa amnesia😅
Haiwezekani, ushindweee, hamunaaa! Hauwezi kupinga namna hiyo 😅Kumbe bado binti mdogo kabisa
Yeah jamaa alikuwa jeuri sana😂Huyu mshikaji mi naanza form 5 ye ndo kawa t.o, alikuwa na kelele sana na nilikuwa nasikia habari zake kwa jamaa yangu alikuwa pale Tosa.
Nasikia aliwahi sema hata Mungu akae na shetan watunge swali, hawezi kukosa!
Miaka ya karibuni kuanzia pale zama za JPM. Kuna trend mbaya sana tuliitengeneza ya kuwadhalilisha wasomi hapa nchini, ndio hii inayozunguka mtaani mpaka leo.Kuna jamaa mmoja yule jamaa ALIKUA KIPAJI MAALUMU NIMESOMA NAE PRIMARY ENZI ZILE MATOKEO YANATOKA KESHO CHRISTMAS 🎄
Yule jamaa primary licha nilikua namba 4 mpaka 5 kwenye matokeo DARASANI Mara kwa mara nilikua na mzidi kiswahili TU.. akaenda kibaha special school, illboru na udsm.
Huyu tulicheza pamoja mpira , tukisoma na kufundishwa na walimu wale wale, mazingira Yale Yale ila nilikua namshinda mara chache chache kwenye baadhi ya masomo ya sayansi, maarifa ya jamii, kiswahili, yeye alinipiga vumbi siku zote alinizidi kwenye hesabu maana alikua anakosa moja au mbili tu mtiani mzima, pia kingereza alikua ananibagaza..
Kuna watu hata ukisema UPAMBANE nae Anakuzidi TU 😊😁
Yeah jamaa alikuwa jeuri sana[emoji23]
Ujinga kabisa watu wanaona ni mafanikio kufundishana tuition..Hiyo T.O ilimsaidia nini
Nchi ilimfanyia chochote au
Ndiyo aliishia kuwa mwalimu wa tuition tu
Ova
Sasa field si inaanza first year mkuu. 2006, 2007, 2008 zote hizi alitakiwa kufanya field i mean practical training ile ukiwa chuo...Kamaliza form 6 mwaka 2006, akawa TO akaingia UD kusoma Telecom Engineering alafu wewe 2007 mkafanya nae field tanesco? Utakua umemfananisha
Wewe unayejua....hebu uelezee huu UMMA,Hakujua maisha yanataka nini, pole yake sana.
Kuna watubvichwa haswaUjinga kabisa watu wanaona ni mafanikio kufundishana tuition..