Uwe unakausha nawe 😹Oya hii Coment 🤣🤣🤣
Really?Mimi na wewe probably tuna umri sawa, 93,94,95.
Hance MtanashatiMods unganisheni huu uzi na ule wa bwana hance roho mbaya
Kua T.O sio rahisi hata Leo hii ukipewa all facilities ukapimane na watoto wa form 4 mwaka huu 2026 unaweza usiwe T.OWatu wengine wanamind kwasababu jamaa alikuwa jeuri, Ila Mimi sijawah kugundua hiyo tabia, labda kwasababu nilisoma mda mchache kwenye kipindi chake. Ila tuheshimu watu wanaoitwa TO
AiseeMods unganisheni huu uzi na ule wa bwana hance roho mbaya
Hakuna sehemu yeyote mimi kama mimi nimesema maTO ni maGenius ,nimetumia Huyo genius wenu(wao ndiyo wamemrate kama genius) ila kwa mimi ambao nawajua nimewaita Vipanga ,namba mbaya!Kuna tofauti kati ya genius na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri. hao unaowasema wewe wanauwezo mkubwa wa kukariri na sio ma-genius.
Vitengo huwa hawamalizi au wanaweza kusoma hata miaka 10 ,akishamaliza project yake anakimbia mazima na kufeli.tulipokuwa semester ya mwisho ya mwaka wa tatu alituambia amepata msiba wa mama yake Dodoma alipoenda msibani hakurudi tena chuoni. Hadi leo sijui yuko wapi. mara nikasikia jamaa alikuwa kitengo
Wengi wanaishia kushika chaki kitaani hakuhitaji ujiniazi ,kitaani ni elimu mtaa ambao wao hawana.Kuna watubvichwa haswa
Nawajuwa wao waliondokaga bongo
Walijuwa tu wataishia kushika chaki tu
Ova
HKL 🤠🤠🤠🤠Faliers ni hkl tu
Kupiga msuli mkali H kunani ni matumizi mabaya ya msuli mkaliHKL 🤠🤠🤠🤠
Yay!Really?
Mimi na wewe probably tuna umri sawa, 93,94,95.
Tena Robert wewe kabisa hapaaanaaa! Napinga hadi mahakamani 😅Mdogo wangu uwe unaomba hela ya soda sasa
Tena Robert wewe kabisa hapaaanaaa! Napinga hadi mahakamani 😅
Ntakupata tu…..!🤓🤓 Sasa unabisha ulikuwepo. Au unabisha hutaki hela ya soda? Shauri yako.
Wapare Sisi usituone hivi. Ukaona mwili Mdogo sura laini ukajua Mdogo wako.😆😆 Kumbe thithi ndio Wajomba na Baba wakwe zako.