KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
sasa unauliza tena wakati ulisoma nae na mkafanya field pamoja hukumtambua?Nadhani nilisoma naye UD tukafanya field TANESCO 2007....was he genious?
sasa unauliza tena wakati ulisoma nae na mkafanya field pamoja hukumtambua?Nadhani nilisoma naye UD tukafanya field TANESCO 2007....was he genious?
Yes,hakuna anayetilia shaka uwezo wake shida ni ego!!Nimesoma historia yake., Wote wanakubaliana kuwa alikua ni mtu hatari sana kwenye physics na math. Tatizo lake lake wanasema hakuwa na adabu
Feza walichukua na kuwa department ya physics lakini walimshindwa kutokana na hizo tabia zake.
Wanafunzi na shule nyingi zilikua zinamkubali sana kwa uwezo wa juu alionao, lakini kuishi nae inahitaji moy
Inategemea ulisoma wapi?Kama ni Muhimbili ya 2002 kurudi nyuma huko hivyo vitu visikie tu,vilizima ndoto za magenius wengi kuwa madaktari!Disco nje nje!Nimesoma ma pathology , biochemistry, anatomy, microbiology na nk chuo kikuu, ila sikuona ugumu wake kama mapindi ya six 🤔
Vitu ni vile vile tu mkuu, labda nyenzo duni tu ndio husababisha mambo kuwa magumuInategemea ulisoma wapi?Kama ni Muhimbili ya 2002 kurudi nyuma huko hivyo vitu visikie tu,vilizima ndoto za magenius wengi kuwa madaktari!Disco nje nje!
Mambo yamekuwa simple wewe!Naelewa ninachokisema!Nimeishi maisha hayo za Zamani na Bado naendelea kuyaishi na nitastaafu katika maisha hayo ya vyuoni!Nafahamu nachokisemaVitu ni vile vile tu mkuu, labda nyenzo duni tu ndio husababisha mambo kuwa magumu
Ilikua balaa.enz zile necta yetu ya form 2.kupata wastan wa C jasho linakutoka. Na ilikua unarudia kweli form 2. Na kweli ilikua kupata div 1 dar ngumu madogo walikua wanachetuka vibaya club billz disco toto la mwisho saa 12 jion kipind mt blue ndio anawika so unakuta matoto ya kkko na ilala yakishindwa shule mapema. Ya shebi robi yalikuaga na ka akili akil kias ingawa walikua Arts sana ndio wanaioneaHapana miaka ya 2000 mpaka 2007 elimu ilikuwa ngumu sana.
Kuna tofauti kati ya genius na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri. hao unaowasema wewe wanauwezo mkubwa wa kukariri na sio ma-genius.Sijawahi kuwa kwenye era ya huyo jamaa na sijajua ufundishaji wake na usomaji ila kuna watu walikuwa vichwa sana enzi za zama za mawe ,miaka aliyosoma yeye naona technology ilikuwa ishaanza kukua.
Kuna jamaa alisoma special nakumbuka alipiga A 10 hadi ya Agricure na Dini alipiga BANDA akawa TO (Olevo) ,ikaja Advance napo Akapiga A Flat akawa TO ,Bank ya Stanbic kipindi hicho ndiyo inaingia TZ katika kujitangaza alipewa zawadi ya laki 5 ,then jamaa akapata Scholarship YALE UNIVERSITY.
Sasa kama huyo Genius wenu Olevo alipata One ya Point 14 inafikirisha kwa nyinyi mnayemgrade ,possible hamjawahi kukutana na VIPANGA hasa.....mtu anameza Ramsden na Abbot yote ,hiyo TRANTA maswali yanafutwa vidoti pia kuna mikate ya Biology mtu anameza lote.
Kuna TO mwingine alitoka MBEYA shule ya mitaani META....Wenye vipaji walikuwa wengi sana enzi za mawe sema Gen Z wanamtrendisha sana jamaa.
Kuna mwingine anaitwa WENZE naye alikuwa namba mbaya sana ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kupata One ya 7 tangia shule yao ianzishwe na mpaka sasa hakuna aliyevunja rekodi ,nashangaa hii miaka yenu mademu darasa zima wanapata One Ponit 7.
Urahisi wake upo wapi? Tofauti na hayo ya zamani?Mambo yamekuwa simple wewe!Naelewa ninachokisema!Nimeishi maisha hayo za Zamani na Bado naendelea kuyaishi na nitastaafu katika maisha hayo ya vyuoni!Nafahamu nachokisema
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!😄😄hii ni same 2011 , nilikua nawapigisha madogo mapindi pale shule yangu ya zamani😁
Eliasi akaja akawa anafundisha five , six walikua wanakaribia mtihani wa mock , bado siku chache tu akawaambia nyie madogo wa six hakuna kitu mmesoma ,six wakakarisika wakampiga ila five walikua wanamhitaji , ndio ikawa mwanzo wa kutimuliwa, pia walimu walikua na bifu nae kwa sababu mwanafunzi walianza kuwaona walimu wao ni vilaza😅😅😅
Haahhha kweliNi shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!
"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".
"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".
Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
Sikutambua kama ni genious. The way anavyoongelewa na vijana na tulivyokua nae ni mambo mawili tofauti....sasa unauliza tena wakati ulisoma nae na mkafanya field pamoja hukumtambua?
Cha kwanza tu walimu hawapendi wanafunzi wao wafeli!,mwanzo ilikuwa ni vyuo vya private,na sababu wanafunzi ndo customers wa kugenerate incomes,so namna zinafanyikaPili Muundo wa mitihani umebadilika sana Kwa sababu ya wingi wa wanafunzi!Urahisi wake upo wapi? Tofauti na hayo ya zamani?
OK nimekuelewa mkuuCha kwanza tu walimu hawapendi wanafunzi wao wafeli!,mwanzo ilikuwa ni vyuo vya private,na sababu wanafunzi ndo customers wa kugenerate incomes,so namna zinafanyikaPili Muundo wa mitihani umebadilika sana Kwa sababu ya wingi wa wanafunzi!
PoaOK nimekuelewa mkuu
hiyo three inategemea ya miaka ipi kama ya kuanzia 2015 kuja juu wewe ni kiazi ka ni kuanzia 2012 kushuka chini uko vizuri piamm niliyepata three ya mwishoni nikoment wap sasa misifa tuuu.....!
Pole yake,,, jeuri ikakutana na maprofesa kiburinasikia walimfelisha chuo kisa jeuri, ali Disco UDSM
Alikuaja soma tele miaka minginePole yake,,, jeuri ikakutana na maprofesa kiburi
Hata kama alisoma pia alipoteza muda na akili zake hazija msadia.....Alikuaja soma tele miaka mingine