Naangalia series hapaMy man,how are you doing?
Nakwambia!yaani mchumba lazima atakuwa kiben ten kibichiii๐คฃ๐คฃ๐คฃna embe la Julia chumvi๐๐ฟ
Bila shaka huna stress za ada๐๐๐Naangalia series hapa
Ni 33 ....ila ndiyo kanikuta nina mmilikiโบ๏ธNakwambia!yaani mchumba lazima atakuwa kiben ten kibichiii
Kuna mapigano? Maana wengine ni ngumi mkononi๐คจNaangalia series hapa
Acha uzinz mtumishi nakuambia tena acha uzinzHuo ndo unaitwa ulozi.
Nikijibu utaanza kunipiga gubu lako hapa.
We niache niishi kwa raha zangu. Maisha yenyewe ya kipimo
Bora angejiita papaiMwamaume akajiita Embe bichi si bora angejiita mshamba_hachekwi
Aah siku hizi umerudi ulingoni?๐Ni 33 ....ila ndiyo kanikuta nina mmilikiโบ๏ธ
Nina mpenzi cute humu burudani tuAah siku hizi umerudi ulingoni?๐
๐๐Oya! Huyo mtu ni mkewangu! Kua na heshima!
Yapo humuKuna mapigano? Maana wengine ni ngumi mkononi๐คจ
Kabisa ๐๐Bila shaka huna stress za ada๐๐๐
Una komwe,
Umenikumbusha enzi za giresi Bujibuji Simba Nyamaume ๐๐National Anthem,Bujibuji,Kiranja mkuu washawahi fanya hivi huenda pia hizo ni ID zangu mkuu๐