Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Umenikumbusha enzi za giresi Bujibuji Simba Nyamaume [emoji3][emoji3]
Wenyewe wanasema mwaka wa kufosi huu 😆🤣🤣🤣bado alikomaa
Ivo yaanWenyewe wanasema mwaka wa kufosi huu 😆
Ni mtu poa sana sema bas tu umbali unatutenganishaUmenikumbusha enzi za giresi Bujibuji Simba Nyamaume 😀😀
Enjoy mwaya😍Kabisa 😁😂
Ooouhhhh penzi lifike mbali mwaya...love is beautiful ❤️Nina mpenzi cute humu burudani tu
Yeah sure cuteOoouhhhh penzi lifike mbali mwaya...love is beautiful ❤️
So mwamba anafosiIvo yaan
Hapana ni haki yakeSo mwamba anafosi
To yeye unatusukuma kufukua makaburi ujuwe..!!Nimeolewa mkuu,mniheshimu kwa kweli
What is uzizni?Acha uzinz mtumishi nakuambia tena acha uzinz
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi[emoji257][emoji519][emoji174]
Yes,wananifahamu mkuu,...Kwan mmeshamuona Toyeye huyu Au
Mkuu mpaka nitoboe, kuna watu wananiponda et mara ooh ID mpya, mm sijali, To yeye kaa ukijua mm ni mnazi wako kitambo sana, usiwasikilize hao, ukuje nimekuandalia Sato wa kutoshaWenyewe wanasema mwaka wa kufosi huu 😆
Kumbe kuna Sato? Ngoja nije aiseeMkuu mpaka nitoboe, kuna watu wananiponda et mara ooh ID mpya, mm sijali, To yeye kaa ukijua mm ni mnazi wako kitambo sana, usiwasikilize hao, ukuje nimekuandalia Sato wa kutosha
Duh kumbe ni chombo safi kabisa,Ninacho mkuu
😉Asante kwa kuona hivyo mkuuDuh kumbe ni chombo safi kabisa,
Shem kama shemPasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
🤣alisema mi sina gharama kubwa hivyo ananimudu😘Shem kama shem
Unaweza kumtunza lakin dada angu hatutaki maneno maneno☺️☺️☺️