‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi[emoji257][emoji519][emoji174]

Kwan mmeshamuona Toyeye huyu Au
 
Mkuu mpaka nitoboe, kuna watu wananiponda et mara ooh ID mpya, mm sijali, To yeye kaa ukijua mm ni mnazi wako kitambo sana, usiwasikilize hao, ukuje nimekuandalia Sato wa kutosha
Kumbe kuna Sato? Ngoja nije aisee
 
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Shem kama shem
Unaweza kumtunza lakin dada angu hatutaki maneno maneno☺️☺️☺️
 
Back
Top Bottom