that's my woman ....babe am speechlessBaby, hii surprise imenifanya nimepata mshtuko nisokua nimeutarajia, leo umeniweza honey umeniweza mm,
Archduke, I want to thank you for all the wonderful ways you make me happy, even when you don’t realize it.
Just seeing your face or hearing your voice can make my day already.
It’s a treat when I get to spend the entire day with you and do all our favorite things together.
Because of you, I have a permanent smile on my face and butterflies fluttering in my stomach.
Thank you for giving me this giddy, happy feeling
I love you, yes i love you to the moon and back
Swali lenyewe sjui najib vipi mana dp sion kituhapa kuna maswali mawili moja la madame lingine langug nitajibu langu kama ifuatavyo.
swali lako ni rahisi nitalijibu kirahisi...sina pesa ila nna vichenji yeye anasema vinamtosha.
Pole dear
espy nilikwambia sehem flani hivi tuliachana nahisu sipaswi kusema zaidi nimeachana naye inatosha.Hivi hizi thread mnazoanzishiana huwa ni ukweli? Maana Madame S alikuwa nae anamuanzishia mdogo wangu yule hivi hivi. Na siku hizi sioni tena akimuanzishia, ghafla naona archeduke sijui, au ndio mdogo wangu alibadili jina?
Tunaonekana tunaigiza??? Sidhan kama tunaigiza sisiNatamani mahusiano yangu nayo yawe public though hakuna faida nitakayopta..
Brother msiwe mnatuigizia tu.
Unaujua ukweli wangu na inatosha babe huihitaji mtu mwengine aprove kwako zaidi yangu labda wewe mwenyewe, am yours na huna share na mtu i know you trust me na kwangu inatosha, babe nakupenda.naomba tu nijibu kwa hiki nilichojibu sababu sijawahi kukujibu
Nithibitishe mara ngapi babelove, mimi ni wako, mapenzi kitendawili penzi zangu za kwako, babe umesimama wa kwanza hauna zaidiyasiwe ya shunii na lee isn't?? kutuletea mtoto wa maboksi 😀😀😀
haya Madame S njoo uthibitishie umma, akiamka atakuja hapa pacha usijali
Sijawahi kuwa na makando mkuu, bali pia siogopi kutuhumiwa humu jf sababu ukweli niliujua mimi na sikuona kwanini nalazimika kujitetea....Hope now umeacha makandokando[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hiviHivi yuko wapi?
Hahahahhaa jamaniYupo rehab ajili ya madame s
unapendwa zaidi huku am glad to be yoursUnaujua ukweli wangu na inatosha babe huihitaji mtu mwengine aprove kwako zaidi yangu labda wewe mwenyewe, am yours na huna share na mtu i know you trust me na kwangu inatosha, babe nakupenda.
Haikua drama, ilikua real nje ya jf lakini haikua riziki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nazikumbuka zile enzi zao za kuanzishiana thread, mie nilijuaga wako real. Kumbe ni drama tu za jf khaaaah!!
Yeah umesahau tuHivi uliwahi kuniambia!!!
Mmmmh!!Hivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
ajua natetemeka hapa hahahahha leo umenipata s kidogounapendwa zaidi huku am glad to be yours