To you my love

To you my love

Baby, hii surprise imenifanya nimepata mshtuko nisokua nimeutarajia, leo umeniweza honey umeniweza mm,

Archduke, I want to thank you for all the wonderful ways you make me happy, even when you don’t realize it.

Just seeing your face or hearing your voice can make my day already.

It’s a treat when I get to spend the entire day with you and do all our favorite things together.

Because of you, I have a permanent smile on my face and butterflies fluttering in my stomach.

Thank you for giving me this giddy, happy feeling

I love you, yes i love you to the moon and back
that's my woman ....babe am speechless
 
hapa kuna maswali mawili moja la madame lingine langug nitajibu langu kama ifuatavyo.

swali lako ni rahisi nitalijibu kirahisi...sina pesa ila nna vichenji yeye anasema vinamtosha.
Swali lenyewe sjui najib vipi mana dp sion kitu
 
Hivi hizi thread mnazoanzishiana huwa ni ukweli? Maana Madame S alikuwa nae anamuanzishia mdogo wangu yule hivi hivi. Na siku hizi sioni tena akimuanzishia, ghafla naona archeduke sijui, au ndio mdogo wangu alibadili jina?
espy nilikwambia sehem flani hivi tuliachana nahisu sipaswi kusema zaidi nimeachana naye inatosha.
 
naomba tu nijibu kwa hiki nilichojibu sababu sijawahi kukujibu
Unaujua ukweli wangu na inatosha babe huihitaji mtu mwengine aprove kwako zaidi yangu labda wewe mwenyewe, am yours na huna share na mtu i know you trust me na kwangu inatosha, babe nakupenda.
 
yasiwe ya shunii na lee isn't?? kutuletea mtoto wa maboksi 😀😀😀

haya Madame S njoo uthibitishie umma, akiamka atakuja hapa pacha usijali
Nithibitishe mara ngapi babelove, mimi ni wako, mapenzi kitendawili penzi zangu za kwako, babe umesimama wa kwanza hauna zaidi
 
Hivi yuko wapi?
Hivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
 
Unaujua ukweli wangu na inatosha babe huihitaji mtu mwengine aprove kwako zaidi yangu labda wewe mwenyewe, am yours na huna share na mtu i know you trust me na kwangu inatosha, babe nakupenda.
unapendwa zaidi huku am glad to be yours
 
Madame S mimi nina kesi nawe yakhe.

Jana weye Eid waniahidi urojo nikasubiria PM wapi!

Ushanijua! nataka urojo wangu.
Hahahahhaha jamani ulinambia nikukaribishe nikakukaribisha Daby, urojo ukitaka nakutengenezea tu unakuja lini nokuandalie??
 
Hivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
Mmmmh!!
 
Back
Top Bottom