To you my love

Sasa km piemu hampo...

Mnapandana na kushukana vipi sasa ? [emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe maswali gani haya lakini unaniuliza?
 
Hahahaha kaka nilimwambia natoka jf kidogo nilikua mechoka choka nikasema nalala na akanambia ulale uamke saa kumi sasa hiyo saa kum me ndio usingizi mzito hasa, meamka hii jioni nakuta msgs zake lakini hajanambia kama kaandika huu uzi

Naingia nakuta notification nikajib kawaida tu had naja soma vizur kumbe nakuta uzi unanihusu,

Kaka, upendo wake kwangu ni zawadi ambayo nitaitunza kwa hali namali, furaha yangu ni yake huzuni yake ni yetu sote kaka, usione nakupa kesi mwenyewe mefika mkufa meoza kabisaaa haya n zaidi ya mahaba, napendwa mm kaka
 
Maneno mazito kabisa hayo, yaliyojaa mahaba na mapenzi ya kweli sister

Iliyobakia kwetu ni kuwatakia kila la kheri, baraka na fanaka....mdumu katika mapenzi, furaha na masikizano wakati wote dada

Kwa hiyo ilikua ni surprise moja matata sana! Hongera zake shemeji
 
heshima yako bwana shemeji
 
Kafanya jambo jema sana, maana tunaishi kwa kutegemeana.

Mimi kama mpenzi mtazamaji nategemea ninyi mkiwepo humu na mimi nipate haki yangu ya utazamaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wallah,hii ni best surprise i have ever had kaka angu nampenda m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…