Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa km piemu hampo...
Mnapandana na kushukana vipi sasa ? [emoji28][emoji28]
Na huku pia halikadhalika tu wazima tunamshukuru Mungu Muweza
Nimeuona huu uzi toka mwanzo ulipoletwa jukwaani nikawa naangaza angaza tu utatokezea kwa wapi sis, yaan mpaka nikatoka kidogo narudi tena naona umenikumbuka
Haya uzi huo tena shemeji kauleta katika masiku haya ya sikukuu,natumai itakua zawadi tosha kwako
Hebu usijisahaulishe bwana. Tunataka kufinyia kwa ndani.Nawaruka tena??? Mwataka hela eh??? Mesahau kujishusha hapo hahahha
sina uhakika sana kama nimekuelewa
umeweka huko kwa matumizi yako ya badae isn't?? no one knows tomorrow
nimemuachia Allah kila kitu
Hahahaha hata sjuiina maana gani mm hahahahHebu usijisahaulishe bwana. Tunataka kufinyia kwa ndani.
Maneno mazito kabisa hayo, yaliyojaa mahaba na mapenzi ya kweli sisterHahahaha kaka nilimwambia natoka jf kidogo nilikua mechoka choka nikasema nalala na akanambia ulale uamke saa kumi sasa hiyo saa kum me ndio usingizi mzito hasa, meamka hii jioni nakuta msgs zake lakini hajanambia kama kaandika huu uzi
Naingia nakuta notification nikajib kawaida tu had naja soma vizur kumbe nakuta uzi unanihusu,
Kaka, upendo wake kwangu ni zawadi ambayo nitaitunza kwa hali namali, furaha yangu ni yake huzuni yake ni yetu sote kaka, usione nakupa kesi mwenyewe mefika mkufa meoza kabisaaa haya n zaidi ya mahaba, napendwa mm kaka
heshima yako bwana shemejiNa huku pia halikadhalika tu wazima tunamshukuru Mungu Muweza
Nimeuona huu uzi toka mwanzo ulipoletwa jukwaani nikawa naangaza angaza tu utatokezea kwa wapi sis, yaan mpaka nikatoka kidogo narudi tena naona umenikumbuka
Haya uzi huo tena shemeji kauleta katika masiku haya ya sikukuu,natumai itakua zawadi tosha kwako
Kafanya jambo jema sana, maana tunaishi kwa kutegemeana.Alichonifanyia sasa, nilitoka huku mda nikawa nafanya nambo yangu nje ya jf nikasema mda umeenda heb nishike sim kha hata kunambia mefanya hiki na hiki hajasema mekuja kuta notification halaf sikusoma thread yenyewe nikajibu nikatoka mara naingia nakuta tena nikasema no ngoja nisome ndio najua bae leo kaamua kunifungukia jaman kashindwa kujizuia mwanaume wangu ha ha ha he is really in love and i am in love
Hahaha..! [emoji3]ndo nini?? halafu usibadilishe mada hapa jakuita ndo nini beb
Maneno mazito kabisa hayo, yaliyojaa mahaba na mapenzi ya kweli sister
Iliyobakia kwetu ni kuwatakia kila la kheri, baraka na fanaka....mdumu katika mapenzi, furaha na masikizano wakati wote dada
Kwa hiyo ilikua ni surprise moja matata sana! Hongera zake shemeji
Naona mnaongea kilugha mara hii..Sjakuita mm beb jaman
Kafanya jambo jema sana, maana tunaishi kwa kutegemeana.
Mimi kama mpenzi mtazamaji nategemea ninyi mkiwepo humu na mimi nipate haki yangu ya utazamaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaa bwana shemeji upoo? Naona hii ni zaidi ya zawadi ya Idd kwa dada yangu. Niliona tangia mwanzo ulivyouleta uzi nikawa nasubiri kuona reaction ya sister, you have conquered her heart big time, keep it up shemejiheshima yako bwana shemeji
Hahahahha tunaelewana me na yeye tuNaona mnaongea kilugha mara hii..