To you my love

Hahahaha Madame B shukran jazillah, ndio binadam hawa tuwazoee tu, ukiona hivo jua nafasi hajapata na hajapata wa hivi anataman na yeye
Hahaahaaa
Na wataishia kutamani tu, ila hawataweza kupata wa aina hii.
Acha tu wachukie, hakuna namna mwaya.

Watu wa hivi sijui huwa wanataka nini labda!
Acha tu wabaki watazamaji....hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…