Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

wapo wengi sana,tena wengine ni ma profesa.Tuache kuwadhalilisha wanawake,wakati mashino yao tunayapenda balaa
 
Huyu wangu ana bonge la Nyash lakini ana akili sana, kama wako ni taahira, usijumuishe wote ungesema baadhi
 
Kipimo cha akili ni title ya profesa. Ukubwa sa makalio kuanzia size ya kajala.

Haya twende kazi sasa. Shusha nondo
Hahah! intellectual professor..

kama ndo hivyo kwa maana hiyo, basi kashapata jibu lake tayari. Arejee tu hapo juu achukue jibu
 
Ni mambo ya usawa tu Yani binadamu mmoja apewe vyote hivyo, makalio na akili !! Wenzake watapewa Nini mkuu..
 
Hakika nimatambua kuwa wewe na huyu kijana ni watu wawili kabisa.

Nisamehe sana Kwa kukulinganisha na kijana huyu wa hovyo kuwahi kutokea katika karne hii.
 
Hakika nimatambua kuwa wewe na huyu kijana ni watu wawili kabisa.

Nisamehe sana Kwa kukulinganisha na kijana huyu wa hovyo kuwahi kutokea katika karne hii.
No he is just one person who is very good and highly intelligent ,able to find answers to certain things through complex threads of thought ,But he is also good person
 
😎😎😎
 
Vita vinafaida yake ujue!

Baada ya vita kusitishwa ndio nyuzi kama hizi mnaleta. Wakati wa vita mlikua busy na mabishano ya team IRAN na Team ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…