Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.

Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.

Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.

Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.

Ahsante
 
Kama nusu saa iliyopita nimesikiliza mistari ya mabov kama sio jay moe mmoja wapo "yachukie maisha yako, usinichukie mimi". Ila sio mbaya unashauri wafanye nini, ili wawe na akili? au ndo ripoti baada ya utafiti.
 
Hao unaowaita hawana akili kwa sababu ya miili yao, ndio waliobeba maono ya familia zetu, kama mama yako ana shepu kubwa, utathubutu kusimama mbele yake na kumwambia hana akili kwa sababu ya umbo lake?

Kusema mwanamke mwenye shepu, au makalio makubwa hana akili ni kuwatukana wazazi wetu waliotulea kwa hekima kubwa, vipi ndani ya ukoo wako, unataka kutuaminisha dada zako na shangazi zako hawana akili kwa sababu tu wana makalio makubwa???

Nakuuliza hivi kwa sababu kwa Afrika, wanawake kuwa na makalio makubwa ni nature yao.
 
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.

Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.

Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.

Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.

Ahsante
Ester Matiko unamuonaje?
 
Back
Top Bottom