leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.Ni bonge au ana kishundu?
Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.Ni bonge au ana kishundu?
😅😅😅 ngoja tuusakeSikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.
Kwenye kuoa haruzingatii tako bali akili ya maisha aliyonayo mtu na hii akili ya maisha si ya darasani.Inawezekana,, huyu Kuna muda alitupia picha yuko mashambani na mke wake na ni bonge pia kama sijakosea.
Ina maana mpaka anae lala nae uchi Hana akili????
Nasubiri wafukua makaburi watuletee ule uzi
Huyo ni sister ni Lecture na PhD yake! Na hadi dk hii yuko huko ugaibuni anamwaga moto kama dragon ...hapo alikuwa anafanya research afungue shule yake maeneo X.Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.
Usake ndugu yangu upon humu.😅😅😅 ngoja tuusake
Ngoja tuusake, nakumbuka ulisema unataka kulima.Huyo ni sister ni Lecture na PhD yake! Na hadi dk hii yuko huko ugaibuni anamwaga moto kama dragon ...hapo alikuwa anafanya research afungue shule yake maeneo X.
Sawa sawaKwenye kuoa haruzingatii tako bali akili ya maisha aliyonayo mtu na hii akili ya maisha si ya darasani.
Hayo makalio na uzuri huwa tunaitafuta huko nje na tunapiga vile tunataka.
Tuache tu bado hajagusa maslai yetu sisi wanywajiUsake ndugu yangu upon humu.
Ushahidi huo kutoka research ya marekani ,haya una lingine tuachie midude yetu, wewe hangaika na hiyo mifupa yako kama fisiSisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante
mengine hadi unatamani kuyala dadeki. 😅Kwani tako linaondoa akili ya mtu?
Hongereni wenye makalio ya kwenda👍
Japo mnatutia unyonge tukiongozana😀😀
Vyenye yamenona. Hujawahi kukutana na Kondoo alienona ukamtamani uchinje ule??! Kuna matako huwa yamenona mno hadi unatamani kula kabisa.Unataka kula matako?
Yanaliwa?
Ki vip?
Ohooooh enjoy your choiceVyenye yamenona. Hujawahi kukutana na Kondoo alienona ukamtamani uchinje ule??! Kuna matako huwa yamenona mno hadi unatamani kula kabisa.
Mungu mwenyewe alipenda sadaka za kondoo alienona, ukichinja asienona anakataa sadaka yako. Mara nyingi Vinono vinamvuto!
Asante sana! Mimi nimechagua vinono.Ohooooh enjoy your choice 😉
Safii Furahia maishaAsante sana! Mimi nimechagua vinono.
Shusha pumzi kidogo. Kisa nihukumu ni wapi nimesema hawafai au wanafaa?😹😹Ushahidi huo kutoka research ya marekani ,haya una lingine tuachie midude yetu, wewe hangaika na hiyo mifupa yako kama fisi
Na mimi nataka ushahidi ni wapi hata hao wanawake wenye makalio madogo waliwai kuwa na akili... tatizo.Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante
Yeah, wanasemaga ndo hayahayaSafii Furahia maisha