min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sura zote 8 kawataja wanawake, ila dada yetu Miss Eagle anagomba tusiwataje🤣😀😀😀😀Jamaa linajua sana kusifia.
Sura zote 8 kawataja wanawake, ila dada yetu Miss Eagle anagomba tusiwataje🤣😀😀😀😀Jamaa linajua sana kusifia.
Hataki matako ya wanawake yalinganishwe na akili zao mkuu.😅Sura zote 8 kawataja wanawake, ila dada yetu Miss Eagle anagomba tusiwataje🤣
Hamna hata ,dogo mhuni tuNyash na nyash...View attachment 3570446
Mkuu nundu acha iitwe nundu hata wenyewe wanawake wanajua hiliHamna hata ,dogo mhuni tu
Hiyo hapanaMkuu nundu acha iitwe nundu hata wenyewe wanawake wanajua hiliView attachment 3570450
Mkuu tuvumiliane tu. Lakini umekosea kunilanganisha na mtu aliye left group.nitake radhi mkuuMkuu secretarybird umeona kuwa hii sio ID yangu sasa .
Mimi sipendi hekaheka ila huyu ndugu yangu Nikifa MkeWangu Asiolewe yeye katika juma moja lazima aanzishe mada ngumu lengo wampopoe ,muda mwingine na matusi anapewa ila hakuwahi kukoma yeye ndiye furaha yake .
Japo anisamehe ila naweza kumlinganisha na dada haszu naye ni wale wale bila kutukanwa bado siku yake haijawa sawa .
Vale NafakaSisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante
Vale NafakaTatizo cycle yako unakutana na viazi tu , fanya kuji update utakutana nao bwashee
Weka picha kwa faida ya membersVale Nafaka
Inawezekana,, huyu Kuna muda alitupia picha yuko mashambani na mke wake na ni bonge pia kama sijakosea.
Ina maana mpaka anae lala nae uchi Hana akili????
Nasubiri wafukua makaburi watuletee ule uzi
Ni bonge au ana kishundu?
Wakuu mnatunza risiti za watu kwenye archive.. hahahah!Sikumbuki lakini mwanamke alikuwa kwenye pikipiki kavaa jeansi suruali na koti la jeansi kuhusu kishundu sikumbuki lakini ni bonge white.
Kazi kwelli kweli.
Humu hakikisha hujisahau tu!!!!!Wakuu mnatunza risiti za watu kwenye archive.. hahahah!
Muda ukifika mnazitoa na kuwapa watu 😀🙌🏾
Tunajisahau na ukitubana tunadai ni pombe tu mbona simple tu 😅Humu hakikisha hujisahau tu!!!!!
Samahani mkuu .Mkuu tuvumiliane tu. Lakini umekosea kunilanganisha na mtu aliye left group.nitake radhi mkuu
Ukisingizia pombe tunatumbia ka ushahidi!!!!!! Unanywea kidogo akili zinakurudi unakuwa makini na unayoandika.Tunajisahau na ukitubana tunadai ni pombe tu mbona simple tu 😅
Mkuu, unatumia akili nyingi sanaKwani shida ipo wapi? Matako ni kiungo cha mwili , kama ulivyo mkono na pua, ukisoma kitabu cha wimbo ulio bora , kinadaiwa kimeandikwa na mfalme sulemani, kinawazungumzia wanawake na maumbile yao mwanzo mwisho , wewe ni nani useme hatupaswi kuwazungumzia wanawake?