Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

Huwa wanasema kuwa jinsi yanavyokuwa makubwa ndio akili inatoka kwenye ubongo na kuhamia huko . Ndio maana Kila akipita kitu pekee atatikisa hicho kiroba, au hata akiwa anapiga picha lazima atatunisha hilo forushi na atafanya lenyewe lionekane
 
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.

Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.

Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.

Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.

Ahsante
Wengi wao wanasumbuliwa na kulaghaiwa sababu ya matako Yao makubwa hivo basi kufikia ndoto zao inakuwa ngumu
 
Kabla hatujaendelea..
Naona ni vyema uki-define kwanza terms zifuatazo:-
  • "Akili" ni nini? unaipimaje? kipi kinafanya useme huyu anayo akili, yule hana akili.
  • "Makalio makubwa" ni yapi? yapoje, measurements zipi?
Tukishapata hizo, hapo ndo itatupa jibu la swali lako kwa urahisi.

Sabb "kalio" unaloliona wewe kuwa ni kubwa, kwa wengine linaweza kuwa dogo.
Unachoki-define wewe as "akili" kwa wengine kinaweza kisiwe akili.

So, tupe definitions zako ili tutoe maoni kwa kutumia hizo.
 
Tukishapata hizo, hapo ndo itatupa jibu la swali lako kirahisi.
Bwashee unatumia akili nyingi sana
 
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.

Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.

Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.

Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.

Ahsante
Upo sahihi, Mwanamke akipata attention kwa muonekano wake hua anarelax akili, anaona hahitaji kabisa kuumiza kichwa, hua anawaza azidi kuvimba, azidi kutembea uchi au azidi kua mweupe ili AONEKANE zaidi.

Ndo maana wanawake malaya wengi ni wazuri, wabaya ndo wanaumiza vicha na kufanya biashara za kuuza karanga juani ili apate 3000 maana kuuza mwili atakosa soko.

Sijawahi kuona mwanamke mwenye msambwanda akawa na akili timamu. HAKUNA
 
Kabla hatujaendelea..
Naona ni vyema uki-define kwanza terms zifuatazo:-
  • "Akili" ni nini? unaipimaje? kipi kinafanya useme huyu anayo akili, yule hana akili.
  • "Makalio makubwa" ni yapi? yapoje, measurements zipi?
Tukishapata hizo, hapo ndo itatupa jibu la swali lako kwa urahisi.

Sabb "kalio" unaloliona wewe kuwa ni kubwa, kwa wengine linaweza kuwa dogo.
Unachoki-define wewe as "akili" kwa wengine kinaweza kisiwe akili.

So, tupe definitions zako ili tutoe maoni kwa kutumia hizo.
We jamaa unapenda kukabia juu sana, Aiseee. Unataka kusema hujui maana na kalio kubwa au mwili mkubwa??
 
Kuna midada yenye mitako Yao na humu ipo.
Samahani mkiingia na Kuona huu Uzi naomba mchangie dada zangu na si kwa ubaya na sijahusisha ila hii mada Haina staha .......
Na mkizingingatia mmeenda kuwakilisha sehemu nyeti namna hiyo hiyo halafu mwenye akili na ubapa yuko ushirombo anapandikiza kuku.
Na subscribe huu Uzi na wakikubali niite convoy yenye mitako vs ubapa
 
Mtoa mada kaotea kimbaumbau sasa ni mwendo wa sizitaki mbichi hizi
 
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.

Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.

Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.

Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.

Ahsante
Marehemu bibi yangu( R.I.P)alikuwa na mtako hasa na alisoma hadi ngazi ya Dr. tena vyuo vya nje.Hata babu alikuwa anataniwa alioa matako cause alikuwaga anapelekeshwa na bibi.
Mtoto wake wa kike alikuwa na akili kinoma na mtako huo. Alisoma St. Fransis na kama kumbukumbu yangu iko sahihi alikuwaga T.O.
 
Back
Top Bottom