Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha unalosema,
Kuwa na msambwanda wa haja haimaanishi ana akili au Hana ni yeye mwenyew na mtizamo wake kuhusu maumbile yanavyoongelewa na wengi ndiyo inampa namna ya kuiweka akili yake,
kama issue ni akili tuu tungeona wanawake wembamba wakifanikiwa zaidi ya wenye misambwanda and vice versa
Hivyo ni kuwa wote hao watumie akili zao vyema kufanya maamuzi yoyote na sii vinginevyo.
By the way mabinti walokuwa wanafanya vzr walikuwa na msambwanda kiasi chake na zile sketi zao za mistari aloooh maisha ya shule nayo duuh alisikika mkuu wa machame galz ndg secretarybird