Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Ndiyo UkweliMiaka 28 madarakani, iko wazi kabisa anafaidika huyu.
Mbaya zaidi, mafanikio kwa hiyo miaka 28 ni zero..!Miaka 28 madarakani, iko wazi kabisa anafaidika huyu.
Kuna muda sauti itasikikaMelubo unajuhudi sana kuipazia sauti riadha lakini sijui kwanini sauti hazisikiki. Mwachiluwi unakumbuka yule mwenzenu mmasai melubo mlikua nae.
Amenufaisha waganga wa kienyeji na kuhonga viongoziMiaka 28 na hakuna mchango wowote olimpiki Huwa tuanenda kutia aibu tu
Everything has an end; Yuko wapi magufuliš¤£Bayi ni kama Rais wa kudumu wa TOC
OkayKamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo.
Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili arudi tena madarakani kama katibu mkuu kwa miaka 28 huku akituhumiwa na ubadhirifu wa pesa za kamati ya olimpiki ya dunia IOC, pia anajichagulia wajumbe wa uchaguzi kwa kuwahonga ili wawapitishe wao na watu wenye maslahi nao.
Naskia anawafanyia fitna na chuki.mbaya kuwazuia pia na wachezaji wenye talent haswa wanaokimbia..Mbaya zaidi, mafanikio kwa hiyo miaka 28 ni zero..!
Ni zaidi ya Kupe, ana nuka Rushwa sehemu zake zoteHuyu jamaa hana tofauti na CCM, Mu7, PK, Karia, nk. Ni king'ang'anizi wa madaraka mpaka amepitiliza.