Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo.
Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili arudi tena madarakani kama katibu mkuu kwa miaka 28 huku akituhumiwa na ubadhirifu wa pesa za kamati ya olimpiki ya dunia IOC, pia anajichagulia wajumbe wa uchaguzi kwa kuwahonga ili wawapitishe wao na watu wenye maslahi nao.