Hee hii mpya kwanguHizi hadithi za Wayahudi ni nyingi ambapo wale wa mwanzo wanaoamini Mungu wao alikuwa na mwenza/mke aitwaye Asheera
Biblia ina focus na uzao wa adam lakin adam sio homo ability wa kwanza duniani, ni wa kwanza aliefanana na yesuHuyo lilith hatumjui na hatumtambui, tunamtambua eva/hawa tu. Nje na biblia ni story za abrakadabra tu na upotoshaji wa biblia
Basi kama ni hivyo kizazi cha Lilith ndo kipo maana wanawake tulio nao sasa hivi wanamfanana kwa kila kitu.Katika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.
Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.
Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.
Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.
Hapo ndio Eve akatokea.
Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.
Basi kama ni hivyo kizazi cha Lilith ndo kipo maana wanawake tulio nao sasa hivi wanamfanana kwa kila kituKatika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.
Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.
Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.
Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.
Hapo ndio Eve akatokea.
Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.
Kuna story nyingi sana hapo kwenye kitabu cha mwanzo,Mad pro max
Tatizo huyo lilth anakosa maandiko rasmi yanayomuulizea, tunaaminije.Basi kama ni hivyo kizazi cha Lilith ndo kipo maana wanawake tulio nao sasa hivi wanamfanana kwa kila kitu.
Hujamaliza kumalizia hii hadithi vijana wa kiume/kike wanapofikia balehe lilth huwatokea katika ndotoKulingana na hadithi hizo, Lilith alidai usawa na haki sawa na Adamu, na alipokataa kutii amri za Mungu za kuwa chini ya Adamu, aliondoka kutoka kwa Adamu na Paradiso. Baadaye, Hawa aliundwa kutokana na ubavu wa Adamu, kama ilivyoelezwa katika Biblia.
kwahiyo ndo ukaamua kujiita Evelyn wa chumvi ili kuchangamsha jina la eve au sio..??😂We want our Lilith back.....😹 Eva amepoa mno.
Nachange ID, ntakua Lilithkwahiyo ndo ukaamua kujiita Evelyn wa chumvi ili kuchangamsha jina la eve au sio..??😂