jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alamsikikwahiyo demon creatures ndo wanapendaga sifa mpk wanakuwa na jinsia mbili..😂
Kwa ajili ya kumuangalia ndio hivyo Shetani the Devil akatia kamba sio kwamba alimpiga bomba na kumkwangua Bikra tu la hasha alipiga mpaka Mimba juu ndipo lilth alipovurugana na Adam akaamua kukimbilia mapangoni kwenda huko ndio alipopata hao watoto wa awali ambao aliwapata kutoka kwa Shetani himselfDuh. Kwa hiyo Adam alikuwa hajamtoa Bikra?
Alikuwa mkewake kwa ajili ya Nini?
Very True sasa kuhusu Story Ya Lilith na Adam na Story ya Eva na Adam..Katika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.
Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.
Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.
Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.
Hapo ndio Eve akatokea.
Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.
Mkuu, hiyo ni hadithi moja ila kuna rejea. Hapa umepotosha.Very True sasa kuhusu Story Ya Lilith na Adam na Story ya Eva na Adam..
Kuna vitu vingi havijawekwa sawa.. nifatilze kwenye Bible unielewe zaidi..
Adam Aliumbwa Pamoja na Mwanamke mmoja kwa kutumia Udongo wote na Mungu akawaita Adam..
Huu ndo uumbaji wa Kwanza wa Mungu kuwa aliumbwa Mtu/Adam ambao walikuwa wawili ndo walikamilisha jina hilo la mtu au adam..
Mwanzo 1:26-27
View attachment 2936895
Na pia Unaweza kuona Kwenye..mwanzo 5:1-2..
Biblia inasema kuwa alipowaumba akawaita Jina lao Adam (Rejea kuwa Lilith jina hili lilikuja baada ya uasi mwanzoni aliitwa Adam)
View attachment 2936898
Najua kuna wengine bado watabisha basi endelea kuwa nami..
Baada ya kufanya aliyotafanya Lilith Akaondoka na kumuacha Adam akiwa mpweke ndani ya Bustani ya Edeni..
Na ndo maana Biblia inasema mwanzo 2:18..
Unafikiri kwanini Anaonekana kuwa peke yake??wakati mwanzo tunaambiwa waliumbwa wawili?? Na hujiulizi kwanini msaidizi wa kufanana naye.?
View attachment 2936899
Haya tuendeleee..
Adam alipoletewa Viumbe ili avipe majina yeye bado aliendelea kutafuta Mwenza ambaye atafanana na Lilith.. Mwanzo 2:19-20 zingatia 20 saaana
View attachment 2936901
Baada ya kukosa Mungu akaona upweke wake akaamua kumpa Usingizi na kutoa Hawa kutoka kwa adamu...
SAsa Angalia Confession ya Adam kwa Mungu alipoletewa mwanamke...
Mwanzo 2:23
View attachment 2936905
Adamu anatamka anasema Sasa huyu,??
Maana Sio yule!
Mifupa katika mifupa yangu. Maana yule hakuwa hivyo, Nyama katika nyama yangu, Maana yule hakuwa hivyo..
Sasa hapa kuwa makini kidogo anasema Ataitwa Mwanamke (Kumbuka mwanzoni mwenye mwanzo5:1) Mungu ndo alitoa jina kwa lilith ila jina la sasa Adamu ndo anayelitoa..
Na anatamka kuwa alitwaliwa kutoka kwa Mwanaume ..."Na sio aliumbwa kwa udongo"..
Nadhani nimeeleweka
Wapi nimepotosha mkuu..Mkuu, hiyo ni hadithi moja ila kuna rejea. Hapa umepotosha.
Wapi nimepotosha mkuu..
Mkuu, Hakuna hadithi mbili za uumbaji. Hadithi ni moja tu ya uumbaji kwa siku 6. Wala huitaji mtaalam wa maandishi kuelewa hiyo hadithi ya biblia. Ipo wazi kabisa. Mwanzo 1 ni Uumbaji na ulichukua siku 6, ukakamilika, siku ya saba muumbaji akapumzika.Wapi nimepotosha mkuu..
Unafahamu kuna Hadithi Mbili Za Uumbaji..?
Unaposema rejea tofauti Ukimaanisha Ile JEPD theory au JEPD hypothesis?
Au siku hizi wanatheolojia wanaiita JEPD facts?
Umekaa kama umeshaishi dallas texas[emoji1787][emoji1787]Kwani nyie bado ni vichwa??? Nyie ni viuno tu....hamnaga kichwa kinajiliza liza, nyie humu ni vilio fc kutwa kulialia vichwa gani nyie pmbv [emoji81][emoji81][emoji81]
Nimekuelewa Vizuri na Naelewa vizuri..Mwanzo 1 imeeleza zoezi lote la uuumbaji mpaka ukamilifu wake, na ikaongelea uumbaji wa mwanadamu in general. Kisha mwanzo 2:4 ni rejea ya huo uumbaji uliozungumzwa kwenye mwanzo moja in details. Mbona ipo wazi kabisa mkuu.
Ngoja nikuwekee hiyo mwanzo 2 halafu nikuonyeshe rejea ilipoanza:
2. "Basi mbingu na nchi zikakamilika, na jeshi lake lote. Na siku ya saba MUNGU akamaliza kazi yake yote aliyoifanya, akastarehe siku ya saba akaacha kufanya kazi yote aliyoifanya. MUNGU akaibarikia siku ya saba, akaitakasa sababu katika siku hiyo MUNGU alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya. Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa.
SIku ile BWANA alipoziumba mbingu na nchi-
(HAPA SASA NDIPO REJEA YA UUMBAJI MWANZO 1 ILIPOANZA, NA UKIENDELEA KUSOMA ANAELEZEA UUMBAJI ULIVYOFANYIKA WA MWANAUME NA MWANAMKE, SIO KWAMBA ALIANZA TENA KAZI YA UUMBAJI, KAZI ILIFANYIKA KWA 7 DAYS IKAKAMILIKA)
So shez Texan 😅😅Umekaa kama umeshaishi dallas texas[emoji1787][emoji1787]
OK, Sasa boss nimeona tatizo lilipo, unatumia akili kubwa sana kutatua jambo dogo mno.Nimekuelewa Vizuri na Naelewa vizuri..
Lakini Kwa Mimi Nimejilita kwenye mwanzo 2 na mwanzo 5:1-2..
Hata ukitaka Twende your ways tutaenda..
Uandishi wa Rejea ya kuwa "siku ile mbingu zilipoumbwa"
Kama ndo kigezo chako cha Kuwa uumbaji ulifanyika mara moja unaniangusha mkuu umesahahu kuwa Biblia Ni masimulizi ya Kale kutumia neno "siku ile" kunafanya Rejea ya Siku zilizopita na Hakutofautishi kadhia yote
Ukisema hivyo naweza kukudhihirishia kuwa kuna Two account za uumbaji..
Nilijua Maybe wewe ni Msomi wa Theology ungejibu Hoja Yangu kwa JEPD theory au Doccomentary Hypothesis (Kwa sasa Documentary Facts), Hapo ulikuwa na nafasi kubwa ya kupanua mjadala na Huenda ungekuwa mkubwa sana...
Ila kwa hoja ya Detailed Creation sio kweli kabisa..
Sasa Zingatia Viti vifutavyo..
Mpangilio wa UUMBAJI kwenye Mwanzo 1
Mpangilio wa Uumbaji kwenye mwanzo 2
- Mungu kuumba Mbingu na Nchi na nchi ilikuwa ukiwa ,Giza na maji
- Mungu akaumba Nuru na kutenga nuru na giza,akaita Giza usiku na nuru, mchana
- Mungu akatenga maji na anga...kukapatikana Uwazi kati yao anga likaitwa mbingu na maji yakawa katika maumbo yake
- Mungu akaagiza nchi itoe majani na mbegu na matunda ya kila aina
- Akafanya mianga mikubwa yaani Jua na Mwezi na nyota
- Mungu akajaza maji katika ardhi na ndege wa Mwituni w kila aina na kila kiumbe kiendacho kwenye maji na ardhini
- Baada ya hapo Mungu akaumba Mtu
- Akapumzika na akaona ni vyema..
View attachment 2936951
- Mungu alipoumba Dunia hapakuwa na Chochote wala mche ndipo akaona Bora kuinyeshea Ardhi Mvua baada ya Mvuke kupanda juu...(Hii account haipo.kwenye Uumbaji wa kwanza kama ukiipata nionyeshe) Na ukumbuke kuwa Hivi vyote miti ya kondeni na Mboga ziliumbwa siku ya nne..
- Sasa kilichofata ni Nini baada ya kuchipuka kwa Mimea hiyo kulingana na mwanzo mbili aliumbwa Mtu...
- Baadae Mungu akafanya Bustani na akamuweka Huyo mtu aliyemuumba..
- Akamuagiza kuitunza Bustani ya Edeni na kuilinda
- Baadae akaona anatakiwa Adam apate msaidizi wake
- Baada ya kumuumba hawa Mungu akaumba wanyama ,Ndege, na akamletea Adamu ili awape majina..
- Baadaye Hawa anaumbwa..
MKuu Kama unasema These are the same Story ya Uumbaji basi Utakuwa hauko sahihii.
Ningependa Urejee The Metaphysical Principle "law" of Contradiction ya Aristotle.."Vitu viwili hawiwezi kuwepo na kutokuwepo kwa wakati mmoja au vitu viwili haviwezi kufanya na kutokufanywa kwa wakati mmoja"
Karibu Mkuu
Ana reply za kibabe sana ila ukichunguza sana ni mtu yupo tranquility, harmony, and freedom from conflict.So shez Texan 😅😅
Sema texas mwanamke ndo kiongozi wa familia
Texans huyo 😅😅😅Ana reply za kibabe sana ila ukichunguza sana ni mtu yupo tranquility, harmony, and freedom from conflict.
Tutumie biblia Hii ya kikristo na Sio TANAKH ni only siku 6 zimeandikwa..OK, Sasa boss nimeona tatizo lilipo, unatumia akili kubwa sana kutatua jambo dogo mno.
Sasa Ukitumia biblia kama reference. Uumbaji ulitumia siku ngapi? Tuanzie hapa. Usiandike mambo mengi. Twende taratibu ili nikuelewe na pia unielewe.
Yap. Tutumie tu biblia.Tutumie biblia Hii ya kikristo na Sio TANAKH ni only siku 6 zimeandikwa..
Weka hilo andiko tuone...Katika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.
Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.
Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.
Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.
Hapo ndio Eve akatokea.
Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.