alafu wakaza vichwa bado hawaelewi hiyo ni alama ya hatari kwa wenye pesa zao benk na sehemu zingine toeni hela zenu mue nazo au muweke nchi zingineMaza kasema msala wa tar 29 umetutia doa kwny kukopa vibibi vingine bn ana waza mikopo kuliko uhai wawalio potea
Mkuu Hujamsikia mzanzibar akisema Hali ya uchumi ni mbaya ,amenyimwa pesa huko kwa mabeberu hivyo yatupasa tujibaneHizi habari zenu zakukurupuka sijui mnazitoa wapi?😁😁😁
Labda kama hufahamu kuna kitu kinaitwa bank runs...Hamna uchumi unaoanguka tusidanganyane yaan dunia ya sasa utoe hela bank uwwke nyumban au upeleke wapi ili iweje?
wew unahiyo pesa, kwa serikal hii walivyo wanaa, uwe na hiyo pesa na uwe mfanyabiashara/mpambanaj hujulikani utafatiliwa hadi ukomeBilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
HahahahahBilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
Cheki na akina Abdul wakufundishe namna ya kuzipakia kwenye foreign currency na account za nje.Wengine tuna pesa nyingi hazitoshi mfukoni au kwenye wallet
Sio pesa zenu za kuweka mfukoni wa shati
😂😃naomba namba ya AbduliCheki na akina Abdul wakufundishe namna ya kuzipakia kwenye foreign currency na account za nje.
Namba ya Samia ulisha wekwa humu itafute😂😃naomba namba ya Abduli
Hao watekajiNamba ya Samia ulisha wekwa humu itafute
Sasa anguko likija linazuiwaje na kuweka pesa ndani? WEWE MBUMBUMBU KWELIKama una vihela benki katoe zote, kama una hela mpesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua
Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
Bureau de Change zitakuwa wazi au kwa ajili ya stability ya hizo currrency?Toa pesa ununue foreign currency
Hakuna shaka yoyote kuwa shilingi ya Tanzania itashuka thamani kama nchi haita kopa au kuuza nje, ili fedha yako iendelee kuwa na thamani yake ya mwanzo ni lazima uibadili kwenye safari imara zaidi au dhahabuBureau de Change zitakuwa wazi au kwa ajili ya stability ya hizo currrency?
Wanaanza kuhangaikia ili waibe helaWeek hii wenye vibunda UTT wanalalamika kua Kuna tatatizo wakitaka ku withdraw....tishio la la kuanguka uchumi sio kubwa kama Bank Run