Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

WAKE ZAKE MBOWE MNA KAZI.
 
Jan 21 imeleta maumivu sana.
 
Usisahau kuchukua kitenge chako na gagulo za hapo lumumba. Wanagawa jumamosi. Mumpuzishe mbowe wanawake mnaomtaka mmekuwa wengi sana
 
Na. 14 imenichekesha sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

RUBBISH

 
Chama dola kongwe tayari mnaanza kumkumbuka mwaba mwenyekiti mstaafu Freeman Aikael Mbowe, mliokuwa mnalilia sana angatuke bila kupitia tanuru la moto wa demokrasia wa CHADEMA ili muendelee na propaganda zenu kuwa Tundu Lissu hajachaguliwa kwa kikao halali cha CHADEMA

Sasa moto wa tanuru lililo mtengeneza mwenyekiti mpya wa CHADEMA limeelekezwa kwenu chama dola Kongwe

Tayari mnaaza kupiga kelele kuwa Tundu Lissu moto wake wa No Reforms No Election unawaunguza vibaya sana CCM na 'vyombo vyake' kama INEC Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa, wateuliwa wa rais kama maDED, mzee Steven M. Wasira , mwenyekiti Samia Hassan, katibu uenezi CPA Amos Makala n.k wote wanausikia moto wa No Reforms No Election 2025
 
Tujikumbushe TOKA MAKTABA :

Vyama rafiki vya CCM , asasi za chama dola kongwe pamoja na CCM walivyombeza na kumbagaza Freeman Aikaeli Mbowe, Sasa fastfoward 2025 wanamkumbuka Freeman Mbowe

"MBOWE Anajifanya MUNGU Mtu, Ajivue UENYEKITI Chadema" -

View: https://m.youtube.com/watch?v=DKpCHQM8pfU MKURUGENZIKAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi za kiraia (ADO), Zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, amezungumza na waandishi wa habari leo Januari 6, 2018 kuhusiana na sakata la muswada wa mabadiliko ya vyama vya siasa ambalo siku za hivi karibuni limekuwa gumzo baada ya Vyama vya upinzani kuungana na kupinga muswada huo ambapo mpaka sasa kesi ipo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
No reform No election - usijisahaulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…