Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi.
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa shetani.
Mkristo anatoa sadaka jero na anaomba Mungu anunue Range Rover model 2023 na ajenge nyumba Ununio. Mchawi anatoa sadaka mtoto wake kuonyesha uaminifu kwa shetani ili ampandishe daraja la uchawi.
Wakristo wengi wanataka mambo mazuri ya mwilini na si ya rohoni, ndio maana wanataka wanywe maji ya upako ndio watajirike, wanywe asali za upako ndopo wapate afya. Mchawi yeye anatoa kwa mungu wake ambaye ni shetani sadaka nono ya mtoto wake mpendwa, sio ili apate majumba ya kisasa na utajiri ila ili tu anafanya hivyo ili apande daraja na kuongezewa nguvu za kiroho.
Wakristo badilikeni, anzeni kumuabudu Mungu katika roho na kweli, achaneni na ibada za mazoea
Kwa namna wachawi walivyo serious, Mkristo feki lazima urogwe sana tu