KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hivi wewe ni taga ehh, ukiwa kwenye hicho chama lazima uwe mchawiTumekisikia, tutabadirika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe ni taga ehh, ukiwa kwenye hicho chama lazima uwe mchawiTumekisikia, tutabadirika.
Nuru na giza havichangamani, huwezi tumikia falme mbili. Uwe simba wakati huo huo uwe YangaUkiwa mkristo na mchawi kwa wakati mmoja inakuwaje?
.
Huyo alikuwa mchawi ni kama walivyo manabii na mitume wa uongo wa kizazi hiki.wameshika vyoteMbona inawezekana kushika yote, babu wa babu yake babu alikuwa mwanga na shehe.
Bila ya yeye watu hawasali
ApiaUmeacha bangi
Daah hii ukristo naona wengi ni jina tu na association ila nafsi zao kuna wachawi wa mchana na usiku
Waislamu mnakusanyaje sadakaUnyenyekevu sifuri.
Imefika stage makanisani wanaweka visanduku vya chuma kukusanyia sadaka 🤣
Mbona Haji Manara ameweza.Yanga ikishinda anashangilia. Simba ikishinda anashangilia chooni.Nuru na giza havichangamani, huwezi tumikia falme mbili. Uwe simba wakati huo huo uwe Yanga
Imani yao nzuriWaislamu ni zaidi Kwa hirizi na majini