successiful dreamer
Senior Member
- Sep 10, 2019
- 103
- 191
Ubarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILi tukujue unaetoa coin...si kwa kelele hizo trakataataaataaaaUnyenyekevu sifuri.
Imefika stage makanisani wanaweka visanduku vya chuma kukusanyia sadaka 🤣
Walitumia elimu ya quran sababu quran is demonicUyo babu yako alikua mchawi na ndo walivokua wazee wa zamani kuitumia elimu ya Qur-an kwa uchawi
Ila Mungu atuongoze
M nakuusia icho kitabu achana nacho na kadri unavompa mtu na ww unazidi kupata madhambi kwa Mola wako
Hakika ya Ushirikina una mwisho mbaya tu
Allah anasema kwenye Qur-an yake
( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )
الزمر (65) Az-Zumar
Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
( وَإِذْ قَالَ لُقْمَانُ لِابْنِهِ وَهُوَ يَعِظُهُ يَا بُنَيَّ لَا تُشْرِكْ بِاللَّهِ ۖ إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيمٌ )
لقمان (13) Luqman
Na Luqman alipo mwambia mwanawe kwa kumpa mawaidha: Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu. Kwani hakika ushirikina bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa.
Nimekunasihi ndugu yangu ima ufuate au uache ni jukumu lako
Unafaa kuwa pastor kaka.Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi.
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa shetani.
Mkristo anatoa sadaka jero na anaomba Mungu anunue Range Rover model 2023 na ajenge nyumba Ununio. Mchawi anatoa sadaka mtoto wake kuonyesha uaminifu kwa shetani ili ampandishe daraja la uchawi.
Wakristo wengi wanataka mambo mazuri ya mwilini na si ya rohoni, ndio maana wanataka wanywe maji ya upako ndio watajirike, wanywe asali za upako ndopo wapate afya. Mchawi yeye anatoa kwa mungu wake ambaye ni shetani sadaka nono ya mtoto wake mpendwa, sio ili apate majumba ya kisasa na utajiri ila ili tu anafanya hivyo ili apande daraja na kuongezewa nguvu za kiroho.
Wakristo badilikeni, anzeni kumuabudu Mungu katika roho na kweli, achaneni na ibada za mazoea
Kwa namna wachawi walivyo serious, Mkristo feki lazima urogwe sana tu
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa shetani.[emoji23]Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi.
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa shetani.
Mkristo anatoa sadaka jero na anaomba Mungu anunue Range Rover model 2023 na ajenge nyumba Ununio. Mchawi anatoa sadaka mtoto wake kuonyesha uaminifu kwa shetani ili ampandishe daraja la uchawi.
Wakristo wengi wanataka mambo mazuri ya mwilini na si ya rohoni, ndio maana wanataka wanywe maji ya upako ndio watajirike, wanywe asali za upako ndopo wapate afya. Mchawi yeye anatoa kwa mungu wake ambaye ni shetani sadaka nono ya mtoto wake mpendwa, sio ili apate majumba ya kisasa na utajiri ila ili tu anafanya hivyo ili apande daraja na kuongezewa nguvu za kiroho.
Wakristo badilikeni, anzeni kumuabudu Mungu katika roho na kweli, achaneni na ibada za mazoea
Kwa namna wachawi walivyo serious, Mkristo feki lazima urogwe sana tu
Hakuna aliposema hivyo
Kitu kinachonipa shida mimi kama mkristo ni mahali sahihi au bora pa kutolea sadaka, aina gani ya sadaka, kiwango cha sadaka nk.Mkristo hawezi shindana na mchawi linapokuja suala la mafanikio ya kiuchumi.
Mchawi anatoa sadaka iliyonona kwa mungu wake anatoa sadaka mtoto wake kipenzi, anatoa kafara basi zima la mkoani abiria 50 wote anachinja kwa kafara kumtolea shetani, then wewe Mkristo kumi mbovu tu inakushinda kutoa ndio uje ulingane na mchawi, thus wachawi ndio wamiliki wa utajili na mali nyingi kuliko Wakristo, Wakristo wanachapwa na ufukara, magonjwa, kuteswa na wachawi sababu awatoi.
Hakuna kiumbe kinachotoa sadaka nono na kwa uaminifu kama mchawi.
AminaUnafaa kuwa pastor kaka.
Hahahah mkuu Buji yuko sahihi! Sana sana mchawi akivaa nguo basi ni kaniki
Na muda huo Padre ashasema tukae kimya tafadhali 😛ILi tukujue unaetoa coin...si kwa kelele hizo trakataataaataaaa
Shetani bila watu Hana kazi.
Kama unacho kitabu nitumieUchawi/uganga kwa kutumia maandiko ya Biblia, ndani ya hiki kitabu kinafundisha uchawi kwa katika mambo mbalimbali kwa kutumia maandiko kutoka kwenye zaburi.
Kama unacho kitabu nitumie
Mfitini. Bora mchawi kuliko mfitiniUkiwa mkristo na mchawi kwa wakati mmoja inakuwaje?