Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee.
WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao.
WanaCCM wao hawana hoja za kumtetea mtanzania yoyote wanapuyanga tu na Kihongosi wao ambae hana ushawishi wowote hata ngazi ya kata.
Chadema wanakubalika na wanachangiwa na wananchi wanaotaka mabadiliko. CCM wanatumia kodi za wanancho lakini hakuna hoja za msingi zaidi ya kuongea pumba na porojo kama nilizozisikia kwa mkulima Ally Hapi kwamba Tanzania kuna uhuru wa maendeleo.