Kipindi Cha nyuma miaka ya 2000+ Mzee wangu alikuwa akinitishia kutonilipia Ada mara TU atakaposikia ninajihusisha na siasa za CCM au kuwa mfuasi,
Nilikuwa naona kama ananinyanyasa sana Mzee wangu, kwa sasa naelewa sana kwa nini Mzee wangu alikuwa akinionya kuhusu CCM
CCM ni zaidi ya kirusi, CCM inauwa, inanyonga, inateka na kutesa watu
Dubwasha hili la nini? Siwezi kujuta Shetani akitupwa jehanamu