Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo

Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia

Hapo ndio tofauti inapoanzia

Azam wanajaribu kuiga sijui kutoa misaada Kila wanapokuwa na mechi ila wapi
 
Nenda ukashitaki FIFA. Mbona gongowazi mnakuwa watu wa malalamiko muda wote
 
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo

Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia

Hapo ndio tofauti inapoanzia

Azam wanajaribu kuiga sijui kutoa misaada Kila wanapokuwa na mechi ila wapi

Huu ni utoaji wa kishirikina
 
Nyinyi ndio mnaofanya mashabiki wa hizi timu mbili wataanza kutoboana macho sio muda mrefu.
 
Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo

Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia

Hapo ndio tofauti inapoanzia

Azam wanajaribu kuiga sijui kutoa misaada Kila wanapokuwa na mechi ila wapi
mayatima algeria na watoto wa shule pale ghana pia wameonja misaada yetu MAISHA MAREFU KWA INJINIA
 
Msitulazimishe kwani vitambaa ndo moyo?.
Unavaa kitambaa hata hukumbuki kina maana gani
 
Wachawi na Waganga ndio wanao faidika na fedha za Simba, Ndio maana CAF inawatambua kama klabu inayo jivunia ushirikina zaidi katika mpira wa miguu kuliko klabu yoyote ya soka Afrika.

Wamefikia hatua kabla ya mechi za kimataifa kulinda uwanja unao tegemewa kuchezewa mechi kana kwamba uwanja utaibiwa kumbe ni njia ya kutenda uovu wa kichawi dhidi ya wapinzanj wao.
 
Back
Top Bottom