Acha kubakaTofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
MamaNani kasema
16 utafungwa kima weTofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
SamiaKizimkazi au bi mdash wako ???
Ulioa under 18Mimi na 28 yeye ana 22 now tuna miaka mitano kwenye mahusiano tunaishi kama mkee na mume
JamhuriKwa sheria ya nani?