OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Majibu utajayoipata ndio tofauti kati ya umri wa baba yako na mama yako
Duuuuh!Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Ndio na baby boy tunae now ana 2 yrsUlioa under 18
Ukiamka asubuhi inabidi uwe unamuamkia shikamooMiaka 10.
Miaka 16 mke gani hata kuoga vizuri hajajua, unapoteza muda mpe time acheze na watoto wenzakeila ni mke wangu
Sometimes😂Ukiamka asubuhi inabidi uwe unamuamkia shikamoo
Sikuhizi Jf unaweza usiingie wiki nzima. siku ukiingia unakuta mada 300 ila zenye tija ni 3.Rubbish 🗑 🚮
Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Sema hapa live tujue...isijekuwa mubaba😅Nitarudi