Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
😆😆😆😆 siyo kweli mimi wababa siwatakiSema hapa live tujue...isijekuwa mubaba😅
😆😆😆😆 siyo kweli mimi wababa siwatakiSema hapa live tujue...isijekuwa mubaba😅
Sure mkuu ni ujinga ujinga tu !Sikuhizi Jf unaweza usiingie wiki nzima. siku ukiingia unakuta mada 300 ila zenye tija ni 3.
😐😐😐
Aaah wapi, haya basi endelea na dogodogo wenzako😅😆😆😆😆 siyo kweli mimi wababa siwataki
Halafu nili sahau kukuuliza jambo kuhusu hili, nita kudokeza.Nimempita miaka 8
Mara zote Mume unatakiwa kumzidi mkeo kuanzia miaka 5
Mkilingana umri, itafikia wakati mwenzio anafika menopause wewe bado unataka
Walau ukimzidi miaka 7 ama 10 yeye akifika menopause na wewe Mwanaume, unakuta huna jambo
Hata nguvu za kuchepuka unakuwa huna
Hawa hawa 😄😅 vijana wananifaa, Maana nikisema nidate wababa nitatembea na waume za watu sasaAaah wapi, haya basi endelea na dogodogo wenzako😅
hongera
Hahaha.............sawa, nasubiri simu yakoHalafu nili sahau kukuuliza jambo kuhusu hili, nita kudokeza.
Hongera ya nini bob?,na why ume cheka au ndio sarcasm ehh😂🦅hongera
Nita kupigia usijali mkuuHahaha.............sawa, nasubiri simu yako
SawaNita kupigia usijali mkuu
kumbe kuna shemeji aiseeHongera ya nini bob?,na why ume cheka au ndio sarcasm ehh😂🦅
wewe wako si ume mzidi 6, basi msalimie huyo mshangazikumbe kuna shemeji aisee