1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
kabisa 😆Ujana una mambo memgi
kabisa 😆Ujana una mambo memgi
Nimetengua tayari, 😆😆 basi kikubwa umeelewa point yanguUmetutukana😂, tengua kauli...sisi tunakupa gundu?
Onhoo sawa nimekupata 😁 bora uongeze bia tuMambo ya mapenzi sio kipaumbele changu , huko nilishatoka ikirudi ni pancha
Point haijaeleweka bado😃, twende sawa kwanza...hata sisi wababa tunaweza wanayoweza vijana!Nimetengua tayari, 😆😆 basi kikubwa umeelewa point yangu
Unataka kusemaje Mubaba😆😆Point haijaeleweka bado😃, twende sawa kwanza...hata sisi wababa tunaweza wanayoweza vijana!
Mi najua target yako ni kusikia Razorblade atasemaje 😁😁
Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Nimemzidi miaka 44 yy kazaliwa 1976Mpaji Mungu na min -me nawasubiri majibu yenu 😎
Wachaa 😆😆 nyie mnazeeka pamojaNimemzidi miaka 44 yy kazaliwa 1976
Na ikawe hivoWachaa 😆😆 nyie mnazeeka pamoja
🤣🤣Wow
Mpenzi wako anasoma bado? na wewe? Kama umesoma shuleni sijui chuo ulikosa wa umri wako?
Umeme mwandika kama vile ndio atakuwa mkeo 😊
😊 itakuwa tuNa ikawe hivo
Edo kissy Selikavu mbona huyu Jamaa ana taka kutu gombanisha na Razorblade 😂😂🦅Mi najua target yako ni kusikia Razorblade atasemaje 😁😁
Acheni uasherati vijana...Mtu miaka 22 umeishaanza kuteswa na huko chini na mambo ya mahusiano, mpaka utoboe 40 wewe itakuwaje?Acheni kujichosha na uigizaji, muda utafikaTofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Miaka 16😏Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Mnaishi kama Mume na mke ,Mimi na 28 yeye ana 22 now tuna miaka mitano kwenye mahusiano tunaishi kama mkee na mume