DuhNi hatari aisee!
Ila Kuna Wanaume wenzetu wanakosa heshima kabisa unakuta wanatembea nao kabisa
Unakuta Jamaa ana mwili kama mlinzi wa JPM then anatembea na hicho kitoto kisa amekirubuni na simu ya touch
Mbaya zaidi anaanza kukifundisha michezo yote 🙌
Hata kama ni mke, watu wanaweza kumtumia kupindua mezaMke kabisa
Sio jambo zuri hata kidogo Kwa mtu anayejitambua
Una bonge la dada au mshangazi? 😹-6, kanizidi miaka 6
Mtego huu 😂
My modern woman with an ancient charm Tayana-wog eti umenizidi miaka mingapi?Mi najua target yako ni kusikia Razorblade atasemaje 😁😁
Yes my wife future
27 sio mshangaziMshangazii
Pisi kali sio 😂27 sio mshangazi
mkinga flani mweupe mfupiUna bonge la dada au mshangazi? 😹
Wadada wafupi wabishi sanamkinga flani mweupe mfupi
warefu ni wababe, amua weweWadada wafupi wabishi sana
Kwa hiyo....?Si anajua kusoma na kuandika
Wababe ndio wazuri sasawarefu ni wababe, amua wewe