Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Na wanakuwa kweli kweli, watoto wa afu mbili wengi ukiwaangalia unaweza kudhani ni wa late 80's.Swadakta basi niseme umri ni dhana, miaka ni kipimo.
Hawa wenzetu wanawai sana kupevuka kwaiyo inatakiwa tuwazidi miaka mingi ili twende nao sawa ki umri
Juzi nilikutana na mmoja kwenye usafiri alivyoniambia tu ana 19yrs nilibaki nmepigwa na butwaa, kashazeeka angali mdogo.