Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Kwa sheria ya nani?
Ukimtia mimba ndio utajua kwamba huyo mwenye miaka 16 sio mali ya wazazi wake ila ni mali ya Serikali kwa hio Serikali itakutia ndani na utapigwa Mvua 30
 
Nimempita miaka 8

Mara zote Mume unatakiwa kumzidi mkeo kuanzia miaka 5

Mkilingana umri, itafikia wakati mwenzio anafika menopause wewe bado unataka

Walau ukimzidi miaka 7 ama 10 yeye akifika menopause na wewe Mwanaume, unakuta huna jambo

Hata nguvu za kuchepuka unakuwa huna
Hiyo ilikuwa ni mwaka 47 bila shaka.

Huyu wangu nimempita 7 yrs naona utofauti mkubwa sana na wale ambao tulikuwa hatupishani age.
 
Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16

Sijui wewe,,.....
Hawa watoto wa siku hizi miaka 16 si mwanafunzi hujui ni kosa kuwa na mahusiano na mtoto.
Ulivo mpumbavu unajisifia
 
Back
Top Bottom