Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Tushazeeka mzee mwenzangu, mtoto wa miaka 16 ni kujikosea adabu...anaanzaje kuona mavz ya mtu mzima asee!!
Ni hatari aisee!

Ila Kuna Wanaume wenzetu wanakosa heshima kabisa unakuta wanatembea nao kabisa

Unakuta Jamaa ana mwili kama mlinzi wa JPM then anatembea na hicho kitoto kisa amekirubuni na simu ya touch

Mbaya zaidi anaanza kukifundisha michezo yote 🙌
 
maisha ya skul noma sana, nilimzidi miaka 2 na bado tukawa na mipango ya kuoana😆,, siku moja dada ake akamchana utamzekea mwenZio. ikaisha hiyo

siku zikasonga mbele, nikapata niliyemzidi miaka 6,, mipango ikawa miiingi lakini ndiyo hivyo tena,, ikaisha shwaaaa

nisiende mbali wife nimempita miaka miingiiiiiiiiiiiii , 😋
 
Ujana una mambo memgi
 
Back
Top Bottom